Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
TV asubuhi yote hii? Unaangalia mapishi wewe mzee[emoji51]
Unaacha kwenda kazini asubuhi yote hii unaangalia TV. Halafu ndio unataka nikuachie mtoto umlee utamfundisha nn zaidi ya uvivu??Inakuaje hawa Azam Decoder?
Yaani tuma nyunyu tu TV ina stuck. Sasa si wangesema mapema kuwa hizi decoders zao zinatumika wakati wa jua tu masika tufanye utaratibu mwingine?
Wenzio kwenye mabenk ma office mbali mbali wana visimbuzi huku shighuli zinaendelea.TV asubuhi yote hii? Unaangalia mapishi wewe mzee[emoji51]
Wengi wanahisi mtu akiangalia tv, basi yupo nyumbani 😅😅😅Wenzio kwenye mabenk ma office mbali mbali wana visimbuzi huku shighuli zinaendelea.
Tofauti na wewe ambae kazi ya kipato chako hakikiruhusu kuangalia kisimbusi.
Mwanaume unafanya kazi ya teller bank, unasubiri wanaume wenzako watafute hela uje uwahesaboe. .Wenzio kwenye mabenk ma office mbali mbali wana visimbuzi huku shighuli zinaendelea.
Tofauti na wewe ambae kazi ya kipato chako hakikiruhusu kuangalia kisimbusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masapta sapta [emoji23]
Uwe unampeleka amamsalimia then unarudi nae, ukija kuhamaki una kibendi kingineUnaacha kwenda kazini asubuhi yote hii unaangalia TV. Halafu ndio unataka nikuachie mtoto umlee utamfundisha nn zaidi ya uvivu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa mnaangalia kisimbuzi??kuangalia kisimbusi.
HahaaaTV asubuhi yote hii? Unaangalia mapishi wewe mzee[emoji51]
Nilijua shida ipo kwangu tuu, wanakera sanaInakuaje hawa Azam Decoder?
Yaani tuma nyunyu tu TV ina stuck. Sasa si wangesema mapema kuwa hizi decoders zao zinatumika wakati wa jua tu masika tufanye utaratibu mwingine?
Yaani😅Wengi wamahisi mtu akiangalia tv, basi yupo nyumbani 😅😅😅
Mimi siyo Kibarua wewe.... Vibarua ndo unaweza wauliza hili swali.Unaacha kwenda kazini asubuhi yote hii unaangalia TV. Halafu ndio unataka nikuachie mtoto umlee utamfundisha nn zaidi ya uvivu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kama haitakiwi kuangaliwa asubuhi wasingeweka vipindi. Wangekuwa wanazima 🤣TV asubuhi yote hii? Unaangalia mapishi wewe mzee😬
Wamesemaje?Nani anawatumaga mbona kwenye manual yao wameeleza.