Ikitokea Askari MP wa JWTZ na wa Magereza 'wamekubananisha' katika '18' zao utachagua nani ndiyo wakupe Adhabu?

Hili nalo la Kufikiria kweli,Yaani Mjeshi halafu MP umfananishe na Magereza!!!
 
Kwamba JWTZ hawanaga shida na Raia ?.
Mkuu nasikia kuwa Mtiti wa Askari Magereza hawa MP wa JWTZ ni cha Mtoto. Sasa Wewe unaweza kubishana na Askari Magereza ambaye 95% ya Mafunzo ya Kozi yake ni Kukutesa, Kukupiga, Kukufanya Ujambe na hata Unye bila Raatiba Maalum na Kuvinyong'onyeza Viungo vyako vyote vya Mwili?

Unaukumbuka ule Mtama aliopigwa Mdee na Mwenzake pale Geti Kubwa Gerezani? Mkono alivunjika na nasikia alikunya.
 
Hawa wote wanashughulika nakurekebisha nidhamu kwa njia ya adhabu. MP wa magereza anashughulikia nidhamu za wafungwa wakorofi(raia).
MP wa Jwtz anashughulikia nidhamu za askari wakorofi... narudia,ASKARI wakorofi!Nawote huwa wanaogopwa katika maeneo yao. Sasa fikiria Kam MP wa JW anaogopwa na askari watukutu,vipi umlinganishe nahuyu anayeogopwa na raia(wafungwa).
Kinachofanya magereza waonekane hatar nikwasababu wale wafungwa wanapopata adhabu huwa wanazisimulia mtaani..hii nitofauti na askari ambao Mambo yakambini huishia humohumo.Huwez kuwasikia wakilalamikia adhabu wanazopata pale wanapokosea.
Kwa maoni yangu MP wa JW ni wabaya kuliko wa magereza
 
Sawa Afande MP wa JWTZ. Vipi upo hapo Lugalo Getini nije nikusabahi au?
 
Back
Top Bottom