Ikitokea Askari MP wa JWTZ na wa Magereza 'wamekubananisha' katika '18' zao utachagua nani ndiyo wakupe Adhabu?

Askari Magereza anadili pia na askari waliokutwa na makosa ya jinai na kupata hukumu hivyo kufukuzwa jeshi, haijalishi ni jeshi gani? au usalama wa Taifa, wote kwake ni chakula.

Nawakumbusha tu
 
Unaleta ushabiki Sasa Mzee Mimi nakupa fact we unaleta ubishi

Kipi kigumu kumtesa raia (mfungwa ) ambaye Hana mafunzo au kumtesa mwanajeshi ambaye ni well trained soldier wap ugumu ulipo
 
Sasa Tupo uzoefu wako ulipokuwa kanyampasila Ukonga Hali ilikuwaje[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
MP ni hatari mnoo Ila wana Akili namna ya kumwadhibu mtu ila hawa wa Magereza ni Hatari zaidi Naona kama hawatumiagi Akili namna ya Kumwadhibu mtu
Umesema kinyume, ... JW hawajifunzi sana saikolojia ya kupima kipigo! ... Magereza kazi yao ni kumchunga mfungwa amalize kifungo salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…