hahahahahhaa hatari sna mzeeMshuwa wangu, siku moja asubuhi tukitokea Kimara Butcher, alinipitisha kwenye ka Hotel fulani pale Ubungo maji. Bada ya kupata supu ya kuku pale, akaja Muhudumu, Mdada kibonge ivi, mweupe na mzuri kwa sura,,,,,, akaniamkia! [ shikamoo shemeji]
Then Mzee baba akamwambia Muhudumu, "aaah mama K, huyu ni kijana wangu,,,,, alafu aknigeukia na kusema, Son, kutana na mama yako mdogo"
Ahahaahah kweli hayo mzeeMshuwa wangu, siku moja asubuhi tukitokea Kimara Butcher, alinipitisha kwenye ka Hotel fulani pale Ubungo maji. Bada ya kupata supu ya kuku pale, akaja Muhudumu, Mdada kibonge ivi, mweupe na mzuri kwa sura,,,,,, akaniamkia! [ shikamoo shemeji]
Then Mzee baba akamwambia Muhudumu, "aaah mama K, huyu ni kijana wangu,,,,, alafu aknigeukia na kusema, Son, kutana na mama yako mdogo"
hakika baba aliponitambulisha kwa mama mdogo, nilikosa cha kusema zaidi ya okay,,,,okay,,,, nyingi.hahahahahhaa hatari sna mzee
Ila wewe mpe heshima yake mam ako mdg1. Shikamoo Mama
2. Oya Binti Hujambo?
3. Niaje Wewe Mazeri?
4. Heshima yako
5. Za Kulala na Kuamka Maza
6. Uko poa?
7. Mzima Wewe?
Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
ukuwafuatilia sana mademu wa wazee wetu, utagundua kwamba haukuzaliwa peke yako. 😀😀😀Ahahaahah kweli hayo mzee
Mm mzeee wangu alikuwa hajaoa ila alikuwa anawala sna wauza bar mkp leo Kuna ambao nawafahamu na wananiambia kbsa Bab ako alikuwa mpenzi wangu ujuee, [emoji23] bas mm naishia kucheka tu anyway siku alivyo fariki mademu zake walikuja karibia wote kwani mzee alikuwa muongaji mzuri San tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko.Ahahaahah kweli hayo mzee
Mm mzeee wangu alikuwa hajaoa ila alikuwa anawala sna wauza bar mkp leo Kuna ambao nawafahamu na wananiambia kbsa Bab ako alikuwa mpenzi wangu ujuee, [emoji23] bas mm naishia kucheka tu anyway siku alivyo fariki mademu zake walikuja karibia wote kwani mzee alikuwa muongaji mzuri San tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huwezi kumuita Bi Mkubwa aisee.UHALI GANI BIMKUBWA
We k umeamkaje!?Mkuu mbona unataka kunitafutia Laana ya Kilazima kabisa kutoka kwa Mshua? Unanitakia Mema kweli Wewe?
Unaonekana una Adabu sana Mkuu.Kama ni mke wa Baba hakika nitampa salamu ya heshima kama ya mama yangu mzazi. Kwasababu watoto wake watakuwa ndugu zangu na wanangu watakuwa Amy au Shangazi zao. Heshima umpayo baba inastahiki na mwenza wake kuipata
Mshuwa wangu hakuwahi zaa na yule mhudumu wa hotel, ila alikuwa anamuitaga mama K.We k umeamkaje!?
KiunoMshuwa wangu hakuwahi zaa na yule mhudumu wa hotel, ila alikuwa anamuitaga mama K.
,,,,, sikuwahi kujua " k"ilisimama kwa niaba ya nini
,,,yaani kabinti nimekazidi umri nikaamkie, kisa tu kanag*ngwa na mzee baba?Kama ni mke wa Baba hakika nitampa salamu ya heshima kama ya mama yangu mzazi. Kwasababu watoto wake watakuwa ndugu zangu na wanangu watakuwa Amy au Shangazi zao. Heshima umpayo baba inastahiki na mwenza wake kuipata
Tatizo ni hilo neno la kitumwa tulilo rithishwa [ shikamoo]As salaam alaikum!! ( kiarabu)
Amani iwe nawe!! (Kiswahili)
Shalom aleichem ! ( kiyahudi)
Shkamoo ni salamu ya kitumwa
Kama hili jambo ni la kweli inabidi abadilike!Mkuu acha ugoro ndio nini hiki Umeandika ?
Je? Mdogo wa mama yako unayemzidi umri utamuamkiaje kwa mujibu wa Mila na desturi zetu.,,,yaani kabinti nimekazidi umri nikaamkie, kisa tu kanag*ngwa na mzee baba?
aisee mimi hii haiwezekani,
watajuana wenyewe na zinaa zao huko.
Hata kama wamefunga ndoa, kamwe siwezi kumuakia 'shikamoo mama mdogo',,,, tu ni kwasababu ni mdogo kuliko mimi.
inatosha kumsalimu kwa kusema " HABARI ZA LEO "