Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

Mshuwa wangu, siku moja asubuhi tukitokea Kimara Butcher, alinipitisha kwenye ka Hotel fulani pale Ubungo maji. Bada ya kupata supu ya kuku pale, akaja Muhudumu, Mdada kibonge ivi, mweupe na mzuri kwa sura,,,,,, akaniamkia! [ shikamoo shemeji]
Then Mzee baba akamwambia Muhudumu, "aaah mama K, huyu ni kijana wangu,,,,, alafu aknigeukia na kusema, Son, kutana na mama yako mdogo"
hahahahahhaa hatari sna mzee
 
Ahahaahah kweli hayo mzee

Mm mzeee wangu alikuwa hajaoa ila alikuwa anawala sna wauza bar mkp leo Kuna ambao nawafahamu na wananiambia kbsa Bab ako alikuwa mpenzi wangu ujuee, [emoji23] bas mm naishia kucheka tu anyway siku alivyo fariki mademu zake walikuja karibia wote kwani mzee alikuwa muongaji mzuri San tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
1. Shikamoo Mama

2. Oya Binti Hujambo?

3. Niaje Wewe Mazeri?

4. Heshima yako

5. Za Kulala na Kuamka Maza

6. Uko poa?

7. Mzima Wewe?

Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
Ila wewe mpe heshima yake mam ako mdg
Mwamkie tu " vip kwema " Kisha sepa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ahahaahah kweli hayo mzee

Mm mzeee wangu alikuwa hajaoa ila alikuwa anawala sna wauza bar mkp leo Kuna ambao nawafahamu na wananiambia kbsa Bab ako alikuwa mpenzi wangu ujuee, [emoji23] bas mm naishia kucheka tu anyway siku alivyo fariki mademu zake walikuja karibia wote kwani mzee alikuwa muongaji mzuri San tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
ukuwafuatilia sana mademu wa wazee wetu, utagundua kwamba haukuzaliwa peke yako. 😀😀😀
 
Ahahaahah kweli hayo mzee

Mm mzeee wangu alikuwa hajaoa ila alikuwa anawala sna wauza bar mkp leo Kuna ambao nawafahamu na wananiambia kbsa Bab ako alikuwa mpenzi wangu ujuee, [emoji23] bas mm naishia kucheka tu anyway siku alivyo fariki mademu zake walikuja karibia wote kwani mzee alikuwa muongaji mzuri San tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko.
 
Kama ni mke wa Baba hakika nitampa salamu ya heshima kama ya mama yangu mzazi. Kwasababu watoto wake watakuwa ndugu zangu na wanangu watakuwa Amy au Shangazi zao. Heshima umpayo baba inastahiki na mwenza wake kuipata
 
,,,yaani kabinti nimekazidi umri nikaamkie, kisa tu kanag*ngwa na mzee baba?
aisee mimi hii haiwezekani,
watajuana wenyewe na zinaa zao huko.
Hata kama wamefunga ndoa, kamwe siwezi kumuakia 'shikamoo mama mdogo',,,, tu ni kwasababu ni mdogo kuliko mimi.
inatosha kumsalimu kwa kusema " HABARI ZA LEO "
 
As salaam alaikum!! ( kiarabu)

Amani iwe nawe!! (Kiswahili)

Shalom aleichem ! ( kiyahudi)

Shkamoo ni salamu ya kitumwa
Tatizo ni hilo neno la kitumwa tulilo rithishwa [ shikamoo]
usipolisema unaambiwa huna adabu kwa kutokuwasalimia wakubwa
 
Jambooo mama.!?uhali gan mama ,
IlA mi .mzee .mke wake wa mwisho kanizd miaka 6 kama s 4, sijawahi msalimia shikamoo na nilishawah ish nae nyumba moja na baba ,ni mwendo wa za asubuh mama ,kwema? Kumekucha, basi na mzee akiwepo apo apo ,yule bi mdogo alinisagia maneno kwa mzee mpaka nikakosana nae mzee ,nikasepa bana akajaliwa na jamaa angu msaidiz wa pale home

Nami nikamsemea kwa mzee wakazonana jamaa alisepa ila adi kesho yupo na mzee ,pale mzeee kapatikana manina zake,
 
,,,yaani kabinti nimekazidi umri nikaamkie, kisa tu kanag*ngwa na mzee baba?
aisee mimi hii haiwezekani,
watajuana wenyewe na zinaa zao huko.
Hata kama wamefunga ndoa, kamwe siwezi kumuakia 'shikamoo mama mdogo',,,, tu ni kwasababu ni mdogo kuliko mimi.
inatosha kumsalimu kwa kusema " HABARI ZA LEO "
Je? Mdogo wa mama yako unayemzidi umri utamuamkiaje kwa mujibu wa Mila na desturi zetu.
 
Back
Top Bottom