MOONFISH
Senior Member
- Jul 30, 2022
- 135
- 268
hahahahahhaa hatari sna mzeeMshuwa wangu, siku moja asubuhi tukitokea Kimara Butcher, alinipitisha kwenye ka Hotel fulani pale Ubungo maji. Bada ya kupata supu ya kuku pale, akaja Muhudumu, Mdada kibonge ivi, mweupe na mzuri kwa sura,,,,,, akaniamkia! [ shikamoo shemeji]
Then Mzee baba akamwambia Muhudumu, "aaah mama K, huyu ni kijana wangu,,,,, alafu aknigeukia na kusema, Son, kutana na mama yako mdogo"