Aisee bro/sista seems kwenye ulimwengu wako halisi una madharau sanaa!
Kupitia maandishi yako kwa mtu makini hapati shida kulijua hilo,unatoa wapi guts za kuandika uliyoandika hapo juu kuhusu muunganiko wa watu wazima wenye akili zao?wewe msafi sana na smart sana au?
Labda kuna mambo aliyopitia yanayomfanya kuthamini ndoa hata ikiwa ndoano.Hii ni thread yake ya pili naiona, kuna shida mahali.
Upewe ulinzi, umemaliza kila kitu.1. Huyo jamaa uliyenaye, alikukuta una mtoto wa mwanaume mwengine. Hivyo unahisi amekusaidia sana kuishi na wewe ndiyo maana unaona usaliti ni kawaida.
2. Umemkuta huyo jamaa ana mali zake ambazo wewe huna mchango nazo. Hivyo nguvu yako/jasho lako halipo hapo. Huwezi kuona uchungu ukisalitiwa
3. Huna uwezo wa kujifanyia mambo ambayo mwanaume wako anakufanyia. Hapo juu ulitoa mfano wa kununuliwa gari. Inaonekana huwezi kujinunulia gari kwa pesa zako. Hivyo unaona mwanaume aliyekununulia gari, ni sawa kusaliti.
4. Huna kipato cha kutosha kujihudumia. Hivyo unaogopa utaishi vipi ukiwa bila mpenzi. Hii inakufanya uone usaliti ni kawaida.
Siku ukipewa na magonjwa ya zinaa, shukuru kama unashukuru kuhudumiwa
Inajazwa na matendo yenye kuashiria utii kwa mume wake.Chochote kinachokinzana na utii kwa mume hakipaswi kuwepo kwenye ratiba ya siku.Najua watu wananiona kichaa,desparate,sijui thamani yangu n.k lkn ukweli ni kwamba kama utamaduni wa dunia ktk mahusiano ungekua ule ambao biblia inautaka,wa mwanamke kuwa na jukumu moja tu,kutii mume wake na mwanaume kama ataweza kupenda kama biblia inavyotaka naamini maisha yasingekua na stress tulizonazo leo.
Ndoa za leo zina stress sbb hatusimami kwenye nafasi zetu.Hajulikani mwanamke nani mwanaume nani.Wote tunapambania kiti cha kiume.
Hapo kwenye hiyo falsafa umenisingizia we binti.Ni ngumu sana kuona madhara ya usaliti kama hauvai viatu vya mwingine. You are a man, nategemea wengi wenu mfurahishwe na bandiko la prida, and so far anajua kuwafurahisha. (Hii ni falsafa yake ya siku zote)
Tuje kwenye uhalisia, mnapima stability ya ndoa kwa vigezo gani? Mnapima kudumu kwa ndoa bila kuangalia afya ya ndoa?
You have 0 idea ni kiasi gani wanawake wanajitibu magonjwa ya ngono kimya kimya na yanajirudia (recurring)
Hamjui ni kwa namna gani usaliti unaharibu someone’s mental state. Hata sina haja ya kueleza hili.
Kaka kama wewe ni msaliti, jua mwanamke wako atakusaliti eventually au na yeye anakusaliti at the moment , sababu kikawaida mwanadamu huwa anachoka kuvumilia unfairness. (Somehow hamuelewi kwanini usaliti hauishi 😂💔)
Msamehe bado ni binti mchanga.Aisee bro/sista seems kwenye ulimwengu wako halisi una madharau sanaa!
Kupitia maandishi yako kwa mtu makini hapati shida kulijua hilo,unatoa wapi guts za kuandika uliyoandika hapo juu kuhusu muunganiko wa watu wazima wenye akili zao?wewe msafi sana na smart sana au?
😅😅😅😅😅Uzuri leo hujatumia kiingereza chako kile😃.
My love,simkandamizi mwanamke wala simshushi mwanamke na kumuinua mwanaume ila ukweli ni kwamba tayari mwanaume yuko juu hata nisiposema tayari mwanaume yupo juu.
Yupo juu kwa sababu,wote tunajua wanaume ndio wanahudumia wanawake.Ni dunia nzima ila Afrika ni zaidi.
Mwanaume anaanza kuwa juu yako kwa kukulipia mahari(kama kakununua fulani hivi uwe property yake) then anatafuta makazi anakua kama anakufuga kwa kukulisha na kukupa huduma zote mpaka siku utakayozeeka ubakie na jino moja la mbele.Mpaka hapo nani yuko juu?
Wenzetu hampambanii wanaume? Huwa mmekaa mmenyoosha miguu mna enjoy wanaume wakiwa wanafanya kazi?Na wanawake wote tunajua kuwa mwanaume ndo anatakiwa awe juu ndo mana mashoga zetu wanaohudumia wanaume tunawacheka na kuwakalia vikao vya umbea .Utasikia mwenzangu nasikia ile ingejimenti ringi kanunua bibie..Heheee,usinambie halooo.😃.Kwanini tuone ajabu?
Siku zote mwanaume ndo mtoaji ndo mana hakuna makahaba wa kiume wanaojiuza barabarani sababu wasingepata wateja ambao ni wanawake sababu wanawake hatujazoea kutoa hela zetu kwa wanaume.Ila makahaba wa kike hadi wanajenga na kusomesha kwa hela za wanaume.
Binafsi naona niko sahihi kuwa ukimsaliti mtu anayekupambania ataumia zaidi ya wewe ukisalitiwa na anayekuhudumia.
Sitaongea sana, ila wanawake jipendeni, Wanaume wanajipenda ndio maana hupiga vita usaliti kwa nguvu zao zote. Ila nyie wenzangu mna justify kabisa lols.Hapa nimeongelea maumivu,
Sisapoti usaliti na ninqjua kuna magonjwa ila incase usaliti umetokea huu ndo mtazamo wangu.
prida, kauli hiyo kama ni ya kweli basi nimekutunuku ndoa sasa hivi.Sikia binti. Wewe huna mume..usitubebe ufala
Una haki yakuongea hayo sababu hunijui ila yeye anayenihudumia mimi na damu ya mwanaume mwingine nikimsaliti na yeye akinisaliti nani ataumia zaidi.Jiweke kwenye viatu vyake utapata jibu.1. Huyo jamaa uliyenaye, alikukuta una mtoto wa mwanaume mwengine. Hivyo unahisi amekusaidia sana kuishi na wewe ndiyo maana unaona usaliti ni kawaida.
2. Umemkuta huyo jamaa ana mali zake ambazo wewe huna mchango nazo. Hivyo nguvu yako/jasho lako halipo hapo. Huwezi kuona uchungu ukisalitiwa
3. Huna uwezo wa kujifanyia mambo ambayo mwanaume wako anakufanyia. Hapo juu ulitoa mfano wa kununuliwa gari. Inaonekana huwezi kujinunulia gari kwa pesa zako. Hivyo unaona mwanaume aliyekununulia gari, ni sawa kusaliti.
4. Huna kipato cha kutosha kujihudumia. Hivyo unaogopa utaishi vipi ukiwa bila mpenzi. Hii inakufanya uone usaliti ni kawaida.
Siku ukipewa na magonjwa ya zinaa, shukuru kama unashukuru kuhudumiwa
Una haki yakuongea hayo sababu hunijui ila yeye anayenihudumia mimi na damu ya mwanaume mwingine nikimsaliti na yeye akinisaliti nani ataumia zaidi.Jiweke kwenye viatu vyake utapata jibu.1. Huyo jamaa uliyenaye, alikukuta una mtoto wa mwanaume mwengine. Hivyo unahisi amekusaidia sana kuishi na wewe ndiyo maana unaona usaliti ni kawaida.
2. Umemkuta huyo jamaa ana mali zake ambazo wewe huna mchango nazo. Hivyo nguvu yako/jasho lako halipo hapo. Huwezi kuona uchungu ukisalitiwa
3. Huna uwezo wa kujifanyia mambo ambayo mwanaume wako anakufanyia. Hapo juu ulitoa mfano wa kununuliwa gari. Inaonekana huwezi kujinunulia gari kwa pesa zako. Hivyo unaona mwanaume aliyekununulia gari, ni sawa kusaliti.
4. Huna kipato cha kutosha kujihudumia. Hivyo unaogopa utaishi vipi ukiwa bila mpenzi. Hii inakufanya uone usaliti ni kawaida.
Siku ukipewa na magonjwa ya zinaa, shukuru kama unashukuru kuhudumiwa
Mi sielewi wasichokielewa ni kitu gani kwa kweli.Dada unajielewa sana, hao wataokuona upo desperate na ndoa au hujui thamani yako most of them ni mashindikanaa (hawajui thamani ya ndoa wala hawajali kubadilisha wanaume) au ni watu walojazwa ujinga wa ki feminist. You are kind of a woman worth dying for... You deserve the best
My darling, huku sio kuthamini ndoa. Pardon my French, huu ni uzwawaLabda kuna mambo aliyopitia yanayomfanya kuthamini ndoa hata ikiwa ndoano.
Ameniambia mimi bado ni mchanga hivyo nisitukane mambo sijavuka mto😂My darling, huku sio kuthamini ndoa. Pardon my French, huu ni uzwawa
Au sioDada unajielewa sana, hao wataokuona upo desperate na ndoa au hujui thamani yako most of them ni mashindikanaa (hawajui thamani ya ndoa wala hawajali kubadilisha wanaume) au ni watu walojazwa ujinga wa ki feminist. You are kind of a woman worth dying for... You deserve the best
Hapa nimetamani kupiga lamination kabisa.Inajazwa na matendo yenye kuashiria utii kwa mume wake.Chochote kinachokinzana na utii kwa mume hakipaswi kuwepo kwenye ratiba ya siku.Najua watu wananiona kichaa,desparate,sijui thamani yangu n.k lkn ukweli ni kwamba kama utamaduni wa dunia ktk mahusiano ungekua ule ambao biblia inautaka,wa mwanamke kuwa na jukumu moja tu,kutii mume wake na mwanaume kama ataweza kupenda kama biblia inavyotaka naamini maisha yasingekua na stress tulizonazo leo.
Ndoa za leo zina stress sbb hatusimami kwenye nafasi zetu.Hajulikani mwanamke nani mwanaume nani.Wote tunapambania kiti cha kiume.