Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

Wewe si ndio ulianza kuniquote lakini au nilikuita?
Kuna kanuni inazuia kuqoute? Na kujibu kuna muongozo wa majibu?
Nimekujibu vile ulivyouliza kwa shari...niliku kuqoute kama kibwagizo tuu ili mada iendelee so ulivyokuja kwa swali la kama kuni attack ndo majibu yake hayo
 
Kukuuliza kama ulihudhuria harusi ndio nimekuattack? 🤣🤣🤣 Binadamu wengine mbona mnadeka sana aisee
 
Mimi binafsi sitamani kumsaliti mke wangu,mpenzi wangu,kwa namna yoyote ile isiyo na lazima kwa kigezo Cha hulka za kiume ni ushababi wa kutembea na wanawake wengi.. sipo upande wa wanaume wadhaifu wa ngono ambao tamaa zao haziishii katika miili ya wapenzi wao... Ili kutimiza haja zao wakahitaji wanawake wengi
Wewe na mume wangu ni mfano wa waume bora.
Mnastahili maua🌺🪷🌸⚘️🌸
 
Back
Top Bottom