Wanawake wa kisasa wengi wanachokiita standards ni mipaka tu ambayo wanaiweka ili wasisogelewe na wanaume wasiokua na hela. Kwa lugha ya kisasa tunasema wanakuza brand. Lakini kwa mwanaume mwenye hela hizo standards zao ni useless tu. Mwanaume awe irresponsible, womenizer, cheater, drug dealer, careless, awe na lundo la baby mamas mitaani n.k, as long as he has money women will scramble for him and competing each other for his commitment. Specificatiin ya wanawake ni hela, hizo zingine ni mbwembwe tu