Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Wewe si ndio ulianza kuniquote lakini au nilikuita?Kama hujataka ya kwangu achana nayo...
Wewe si ndio ulianza kuniquote lakini au nilikuita?Kama hujataka ya kwangu achana nayo...
Kuna kanuni inazuia kuqoute? Na kujibu kuna muongozo wa majibu?Wewe si ndio ulianza kuniquote lakini au nilikuita?
Kukuuliza kama ulihudhuria harusi ndio nimekuattack? 🤣🤣🤣 Binadamu wengine mbona mnadeka sana aiseeKuna kanuni inazuia kuqoute? Na kujibu kuna muongozo wa majibu?
Nimekujibu vile ulivyouliza kwa shari...niliku kuqoute kama kibwagizo tuu ili mada iendelee so ulivyokuja kwa swali la kama kuni attack ndo majibu yake hayo
Ukweli unaujua...Kukuuliza kama ulihudhuria harusi ndio nimekuattack? 🤣🤣🤣 Binadamu wengine mbona mnadeka sana aisee
PoleUkweli unaujua...
Mwandiko unaongea...
Na kwako piaPole
Wewe na mume wangu ni mfano wa waume bora.Mimi binafsi sitamani kumsaliti mke wangu,mpenzi wangu,kwa namna yoyote ile isiyo na lazima kwa kigezo Cha hulka za kiume ni ushababi wa kutembea na wanawake wengi.. sipo upande wa wanaume wadhaifu wa ngono ambao tamaa zao haziishii katika miili ya wapenzi wao... Ili kutimiza haja zao wakahitaji wanawake wengi
Sijachukia kipenzi...
Sijasema chochote cha kuchukiza lakini 😁
Una tatizo na hilo?Binti wa zamani ndo ramani yako ya maamuzi.Hongera😃