Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

Ni kama haupo proud na gender yako shida ni nini dear?
Anachoongea kina mantiki na ndio uhalisia wa maisha halisi.Ni basi tu mnataka kubadilisha mifumo sio kitu rahisi na pia ina gharama zake na moja ya gharama ni wanawake wengi kuwa Singles.
 
😅😅😅😅😅



Mwanaume kuwa juu ya mwanamke hakumfanyi awe na ticket ya usaliti since usaliti una madhara makubwa kwa anayesalitiwa.


Wenzetu hampambanii wanaume? Huwa mmekaa mmenyoosha miguu mna enjoy wanaume wakiwa wanafanya kazi?

Sitaongea sana, ila wanawake jipendeni, Wanaume wanajipenda ndio maana hupiga vita usaliti kwa nguvu zao zote. Ila nyie wenzangu mna justify kabisa lols.
Sijampa me tiketi ya kusaliti bali ulisema namuinua mwanaume na kumshusha mwananmke nikakwambia mwanaume tayari yuko juu,ninqchofanya mimi ni kukiri ukweli kuwa mwanaume yuko juu yetu.

Tunapambana ila sio wote hata wewe unajua familia nyingi baba ndo mpambanaji.

Binafsi,najipenda sana.Na hakuna mtu mwenye akili timamu ata justify usaliti.H
 
.

Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi.

Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit piga chini mshenzi huyo ambae biblia imemuita mpumbavu kisha tafuta mwanamwali mpya atakayethamini mateso na stress unazopitia ili yeye/na watoto aishi vizuri kisha uweke ndani.

Wamama wenzangu,kama mumeo ni kama huyo niliyemuelezea hapo juu imetokea akachit USIMUACHE😃😃😃😃.🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍.
Kama unataka kuwa yule mwanamke mpumbavu anayeongelewa kwa biblia muache ila kama hutaki .mpe jamba jamba za moto ili asirudie tena na hakikisha haiwi tabia yake ila usimuache.

Kaka yangu akisalitiwa nitamchukia huyo wifi na roho itaniuma sana kila nikiwaza kaka yangu anateseka/jinyima ajili yake halafu shukrani ya kukunawirisha ukapendeza ni kumsaliti?!No way.

Ila 😃😃kama shemeji kakamatwa na kamchepuko ila hakuna kilichopungua pale nyumbani kwao nitamshauri sista aongee vizuri na mumewe aache hiyo tabia asije akamletea maradhi ila sitamchukia shemeji yangu.

Kama mwanamke wewe ndo unahudumia huyo baba au wewe baba ndo unahudumiwa hiyo ni kesi nyingine ila kwa maisha ya kawaida ambayo wanaume ndio wamebeba mzigo wa kuhudumia, mtazamo wangu ndio huu.

Namaanisha mwanaume akisalitiwa anaumia zaidi kuliko mwanamke😃.Na mwanamke ukitaka kushindana na mwanaume kwenye ishu za usaliti sijui kachit na mim namlipa kwa kumchit au usikie wanaume wanasema msaliti hasamehewi na wewe mumeo akuchit ujitie msaliti asamehewi ondoka.

Nb:Kiranga alivyoona naongelea sana haya mambo akauliza kama nimewekeza hata kwenye hisa nikamdanganya ndio nimewekeza kwenye hisa na sehemu nyingine nyingi ila ukweli ni kwamba sijawekeza popote zaidi ya kwenye ndoa yangu.Mimi productive day yangu inajumuisha kufua boxer za mume wangu,kubuni mapishi mapya na kujiremba ili kila jion akirud anikute ninavotia.
Unatamani sana kuwa mwanaume ndio kinachokusumbua. Jikubali acha kujichukia
 
Eti watasema uko dickmatized, kumbe umeamua kukubali nature mrembo.

Ila me napinga ku normalize usaliti sis, kwa mahaba ya kiwango chako usaliti usivumilie ata kidogo you deserve the best as much as you give it 🌹🌹
 
😅😅😅😅😅



Mwanaume kuwa juu ya mwanamke hakumfanyi awe na ticket ya usaliti since usaliti una madhara makubwa kwa anayesalitiwa.


Wenzetu hampambanii wanaume? Huwa mmekaa mmenyoosha miguu mna enjoy wanaume wakiwa wanafanya kazi?

Sitaongea sana, ila wanawake jipendeni, Wanaume wanajipenda ndio maana hupiga vita usaliti kwa nguvu zao zote. Ila nyie wenzangu mna justify kabisa lols.
Kwa uzoefu wangu siwezi kumuunga mkono au kumpinga ila nina uhakika anasema kweli.

Wananawake mnatofautiana kimtazamo. Kuna watamaduni sana na wasasa sana.

Kuna KE atavumilia kukaa nyumbani bila shughuli, ila hatovumilia kusalitiwa.

Kuna KE atavumilia kusalitiwa, ila hatovumilia kusimangwa.

Kuna KE atavumilia kupigwa, ila hatovumilia kusalitiwa nk. nk.

Kuna KE wameridhika tu na mfumo uliopo. Labda hawajaelimika sana, wameshika sana dini, malezi nk.
Na ninahisi familia nyingi zipo hivi. Wanaishi kama wapangaji tu, wameshaachana kitambo ila hawajatawanyika. Au wananafikiana.
 
Utafika mbali sana ila utafika ukiwa umechoka haswaa
 
Utakuwa umemtendea jambo jema sana
Halafu mume wangu nimuachie nani.
Na hata ningekua singo siwezi toka na mJF coz wanajua akisaliti nitasamehe.
Hii misimamo yangu mume wangu haijui.
 
Back
Top Bottom