Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Replace ancient with "ignorant", respectfully!Wateva the case na viingereza vyenu vigumu π but you can place me in the museum if I sound ancient to you.
Sawa π¦Nb:Nobody can break me.
Hapana, huyo ni wewe mama ndege!Nb2 ;Kwa hiyo huyo ndege anayemweka mweka macho ndo binti kiziwi π
Inategemea na scenario.Hata kama mume ni masikini mdogo wangu,,hivi kweli kama mwanaume kawa mwema na mwaminifu miaka yote hlf siku moja itokee achit then nimuache just like that!?
Nisikumbuke mema alinifanyia miaka yote nikampa second chance?
Fact; wameachwa β¦β¦Usipindishe maneno,
Nimeongelea survival hapa, mwanamke anaangalia kama anapata kitu au laah, na wengi hutumia wanaume waki achana ndo waje wadithi mali, ila unajua kabisa nilicho ikimaanisha..
Hao wanaoachika ni kwa sababu mwanamke anakuwa anajua kabisa hiyo relationship sio beneficial..
Ni either anajiweza kiuchumi, au tayari kasha pata Sehem ya kupata kikubwa zaidi
Wameachwa kwasababu... Na sababu yenyewe ndo hiyo utegemezi. Tuache kujidanganya hapa.Fact; wameachwa β¦β¦
Anhaa.Sio suala la maslahi yetu kuguswa ni suala la majukumu. Ukimuondolea mwanaume provision kwenye familia anabaki na nini? Siku hizi hakuna security maana tuna suma JKT na wamasai kila kona π€£
To be fair.
Ni kweli mkuu.Tatizo sio usawa, tatizo ni kuchagua chagua vipengere vya huo usawa. Kwa ninavyoelewa mimi, wanawake hawataki usawa wa kijisnia(gender equality) isipokua wanataka nguvu ya kuchagua ni wapi na kwa namna gani wawe sawa na mwanaume(selective equality) . Kama mnataka usawa kwa ujumla wake haitaleta shida. Lakini kama usawa wenyewe ukiegemea kwenye masilahi na kuonyeshana unwamba ndani ya nyumba hapa mzani hauwezi ku-balance.
ile dharau ya kuishi na mtu anayelala na mwanamke mwingine waziwazi sio kila mwanamke can bare it..
Mtu mwema na mwaminifu na msaliti halikai kwenye sentensi moja, ni paradox.No woman can.
Ila hivi mtu kama mwema na mwaminifu kwako miaka yote halafu siku akikosea ahukumiwa hapo hapo?
No second chance?!!
Mtu akikosea hawezi kujirekebisha?
Kama kweli unampenda kasaliti ndio na umeumia ila hata kuongea mkakanyana hakuna!?
NashukuruππReplace ancient with "ignorant", respectfully!
Sawa π¦
View attachment 3667602
Hapana, huyo ni wewe mama ndege!
Hakuna mtu ataacha mume wake hata ukisema.Hata hivyo maumivu ya receiver na provider kamwe hayatakaa yawe sawa.Mtu mwema na mwaminifu na msaliti halikai kwenye sentensi moja, ni paradox.
Mi sijawaambia muwaache mabwana zetu wakiwasaliti, nasema usaliti ni mbaya na msidogoshe maumivu ya usaliti upande wa pili.
Kaolewa juzi mbona...Sikia binti. Wewe huna mume..usitubebe ufala
Ndoa yako itadumu shoga angu...π₯°π₯°Uzuri leo hujatumia kiingereza chako kileπ.
My love,simkandamizi mwanamke wala simshushi mwanamke na kumuinua mwanaume ila ukweli ni kwamba tayari mwanaume yuko juu hata nisiposema tayari mwanaume yupo juu.
Yupo juu kwa sababu,wote tunajua wanaume ndio wanahudumia wanawake.Ni dunia nzima ila Afrika ni zaidi.
Mwanaume anaanza kuwa juu yako kwa kukulipia mahari(kama kakununua fulani hivi uwe property yake) then anatafuta makazi anakua kama anakufuga kwa kukulisha na kukupa huduma zote mpaka siku utakayozeeka ubakie na jino moja la mbele.Mpaka hapo nani yuko juu?
Na wanawake wote tunajua kuwa mwanaume ndo anatakiwa awe juu ndo mana mashoga zetu wanaohudumia wanaume tunawacheka na kuwakalia vikao vya umbea .Utasikia mwenzangu nasikia ile ingejimenti ringi kanunua bibie..Heheee,usinambie halooo.π.Kwanini tuone ajabu?
Siku zote mwanaume ndo mtoaji ndo mana hakuna makahaba wa kiume wanaojiuza barabarani sababu wasingepata wateja ambao ni wanawake sababu wanawake hatujazoea kutoa hela zetu kwa wanaume.Ila makahaba wa kike hadi wanajenga na kusomesha kwa hela za wanaume.
Binafsi naona niko sahihi kuwa ukimsaliti mtu anayekupambania ataumia zaidi ya wewe ukisalitiwa na anayekuhudumia.
Hapa nimeongelea maumivu,
Sisapoti usaliti na ninqjua kuna magonjwa ila incase usaliti umetokea huu ndo mtazamo wangu.
Ulikuwepo harusiniKaolewa juzi mbona...
Kama binti wa zamani umesema hivi mimi ni nani nipinge πReplace ancient with "ignorant", respectfully!
Sawa π¦
View attachment 3667602
Hapana, huyo ni wewe mama ndege!
wewe ulikuwepo kwake kujua hana mume?Ulikuwepo harusini
Mimi ya kwangu ni assumption tu, na wewe je?wewe ulikuwepo kwake kujua hana mume?
Kama hujataka ya kwangu achana nayo...Mimi ya kwangu ni assumption tu, na wewe je?