1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna )
2. Ajira hakuna
3. Rais Samia hafai
4. Uchumi wa nchi Unaanguka
5. CCM haifai
6. Hatuvutii Uwekezaji
7. Nchi inachelewa Kimaendeleo
Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya Kipuuzi dhidi ya Uwekezaji Wao nchini na Kuhamia nchini Kenya ajue atakachoambulia kutoka Kwangu ni Kofi Tukuka au Ngumi Takatifu.
Mama anawapenda na mnazingua.