Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Tapeli kwenye moja na mbiliSionyeshi naona unaumiaaaaa sanaaaaaaa chukua hako ka milion 10 ukale basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na mtaumia sanaaaaaaaaaaà🤣🤣🤣🤣🤣Tapeli kwenye moja na mbili
Alafu utakuta kuna majinga wanakuamini?
Mimi umenikosa 🤣cha kwanza pesa haipendi kabisa kelele!!
Dogo acha kutafuta attention hapo ulipo una ishi kwa shemeji yako na bukta lako la Chelsea asbh asbh tu una waza kutajirika kwa kubet badala ukafanye kaziSionyeshi na hiyo 50000 baki nayi kwangu sio pesa now ni takataka kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yaani bado hujasema na utasema tuuuuu hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dogo acha kutafuta attention hapo ulipo una ishi kwa shemeji yako na bukta lako la Chelsea asbh asbh tu una waza kutajirika kwa kubet badala ukafanye kazi
Pamoja SanaaHongera mkuu,
It's great to win big, hasa baada ya kusota mda mrefu. Betting has a way of paying those who are persistent.
Ukweli unao wewe jombaa, hata ivo mbona unalazimisha sana tuumie man.Tufanye sijashinda nimedanganya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bora ww una lugha ya kimichezo sio Labani og aka SIIIONI SIMBA IKI........Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Pole sana...Hapati kitu Simba inafungwa mimi nna kawaida ya kukosea kubashiri ila leo naona nipo sahihi zaidi Simba leo hachomoki anapigwa
Hongera sana bingwa. 46M kwa isawa huu sio mchezo.Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Omba hata buku ya vocha , usiombe Slip haitakuongezea kitu.Jumapili kama Manchester City angeshinda ungekula Million 50 leo milion 46
Sio shida ila onesha slip basi maana mkono mtupu haulamwi
Mimi siombagi MangiOmba hata buku ya vocha , usiombe Slip haitakuongezea kitu.
Aaaaah kama hutaki mdau akubariki na buku ya vocha Utajua wewe ....😃😃😃Mimi siombagi Mangi
Huyu jamaa kila wiki anashinda Mamilioni njoo wiki ijayo atakuwa ameshinda milioni 60 sasa shida kuna watu anawadanganya !!Aaaaah kama hutaki mdau akubariki na buku ya vocha Utajua wewe ....😃😃😃
Jamaa ana bahati kweli kweli huyu..Huyu jamaa kila wiki anashinda Mamilioni njoo wiki ijayo atakuwa ameshinda milioni 60 sasa shida kuna watu anawadanganya !!
Huyu jamaa anebarikiwa mno kila wiki duuh watu wamezaliwa kuwa matajiriJamaa ana bahati kweli kweli huyu..
Bado nasubiri mkuu ili nile mbivuSawa mkuu ngoja tuone Leo maana uliopita man city aliniua