Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Sionyeshi naona unaumiaaaaa sanaaaaaaa chukua hako ka milion 10 ukale basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tapeli kwenye moja na mbili
Alafu utakuta kuna majinga wanakuamini?
Mimi umenikosa 🤣cha kwanza pesa haipendi kabisa kelele!!
 
Sionyeshi na hiyo 50000 baki nayi kwangu sio pesa now ni takataka kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Dogo acha kutafuta attention hapo ulipo una ishi kwa shemeji yako na bukta lako la Chelsea asbh asbh tu una waza kutajirika kwa kubet badala ukafanye kazi
 
Dogo acha kutafuta attention hapo ulipo una ishi kwa shemeji yako na bukta lako la Chelsea asbh asbh tu una waza kutajirika kwa kubet badala ukafanye kazi
Yaani bado hujasema na utasema tuuuuu hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hongera mkuu,
It's great to win big, hasa baada ya kusota mda mrefu. Betting has a way of paying those who are persistent.
 
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Bora ww una lugha ya kimichezo sio Labani og aka SIIIONI SIMBA IKI........
 
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Hongera sana bingwa. 46M kwa isawa huu sio mchezo.
 
Jumapili kama Manchester City angeshinda ungekula Million 50 leo milion 46
Sio shida ila onesha slip basi maana mkono mtupu haulamwi
Omba hata buku ya vocha , usiombe Slip haitakuongezea kitu.
 
Back
Top Bottom