Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
Ndiyo ataapishwa na atasema Bado ana nguvu na maono ya kulitumikia taifaNaombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi.
Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.
Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
Comment niliyokuwa naitafutaπ€£π€£Ndiyo ataapishwa na atasema Bado ana nguvu na maono ya kulitumikia taifa
Swali mbona lipo wazi.Mkuu
Kuna nini nyuma ya swali hili?
Yaani utabiri unaelekea kuiva kabisa kwa hizi danadana za mbili hizi .Taratibu Zimenyooka Ataapishwa
Tunafuatilia Utabiri Wa Almaruhum Sheikh Yahaya Hussein
Mtapata Rais Mkali Sana Hii Tayari
Mtapata Rais Mwanamke Tunaye
Baadaye Upinzani Watatawala Tanzania Tunangoja
Hii ni ccm lolote laweza tokea Huwa yanatokea!!πππ Wee kijana acha uchochezi
Tena ataongezea "sitokufa Bali nitaishi Ili nitimize wito was bwana" zaburi ya ngapi vile!!?Ndiyo ataapishwa na atasema Bado ana nguvu na maono ya kulitumikia taifa
Utabiri una mambo mengi.Hiyo baadae upinzani utatawala kinyota haimaanishi lazima atokee upinzani Moja kwa Moja. Inawezekana alikua mpinzani baadae akarudi kundini au upinzani aliufanyia humo humo ndani ya chama chake.Taratibu Zimenyooka Ataapishwa
Tunafuatilia Utabiri Wa Almaruhum Sheikh Yahaya Hussein
Mtapata Rais Mkali Sana Hii Tayari
Mtapata Rais Mwanamke Tunaye
Baadaye Upinzani Watatawala Tanzania Tunangoja
Ataapa kuilinda katiba kwa wivu mkubwaNaombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi.