Ikitokea Rais wa sasa akashindwa kutimiza majukumu yake, je Makamu aliyejiuzulu anayemalizia muda wake ataapishwa kuwa Rais?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi.

Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.

Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
 
Ndiyo ataapishwa na atasema Bado ana nguvu na maono ya kulitumikia taifa
 
Taratibu Zimenyooka Ataapishwa

Tunafuatilia Utabiri Wa Almaruhum Sheikh Yahaya Hussein
Mtapata Rais Mkali Sana Hii Tayari
Mtapata Rais Mwanamke Tunaye
Baadaye Upinzani Watatawala Tanzania Tunangoja
Yaani utabiri unaelekea kuiva kabisa kwa hizi danadana za mbili hizi .
 
Taratibu Zimenyooka Ataapishwa

Tunafuatilia Utabiri Wa Almaruhum Sheikh Yahaya Hussein
Mtapata Rais Mkali Sana Hii Tayari
Mtapata Rais Mwanamke Tunaye
Baadaye Upinzani Watatawala Tanzania Tunangoja
Utabiri una mambo mengi.Hiyo baadae upinzani utatawala kinyota haimaanishi lazima atokee upinzani Moja kwa Moja. Inawezekana alikua mpinzani baadae akarudi kundini au upinzani aliufanyia humo humo ndani ya chama chake.
Hukumbuki alitabiri kama kikamtokea privately.
 
Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi.

Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.

Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
Ataapa kuilinda katiba kwa wivu mkubwa
 
Back
Top Bottom