Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi.
Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.
Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?