Kumbe!Bahati mbaya TEC hawapo kwa ajili ya kushirikiana na mtu/watu. Badala yake wapo kwa ajili ya kukemea maovu, kutetea haki na usawa kwa wote, nk.
Wa dini ya Mungu tupoGwajima huwa anawananga sana katoliki lakini akilikologa huwa anajitupa kwenye miguu ya katoliki apate kunusurika.
Matapeli ni CCM na machawa wake kama wewe. Hao ndo ambao watanzania hawawezi kuwaunga mkonoWatanzania siyo wajinga kama Ninyi. Watanzania hawawezi kuwaunga mkono matapeli
Walokole wengi chimbuko lao ni wakatoliki, wamepata ubatizo, ekaristi ya kwanza na kipaira huko.Gwajima huwa anawananga sana katoliki lakini akilikologa huwa anajitupa kwenye miguu ya katoliki apate kunusurika.
Huyo Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima mtukana Mzee wa wakatoliki Kardinali Pengo iau mwingine?Salaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October,
Unadhani kishindo chake kitakuwaje?
Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist
Mungu ibariki Nyikani.
Karibuni π
SureWalokole wengi chimbuko lao ni wakatoliki, wamepata ubatizo, ekaristi ya kwanza na kipaira huko.
Sio kweli ungesema wasabato hapo sawaWalokole wengi chimbuko lao ni wakatoliki, wamepata ubatizo, ekaristi ya kwanza na kipaira huko.
Sio kweliWalokole wengi chimbuko lao ni wakatoliki, wamepata ubatizo, ekaristi ya kwanza na kipaira huko.
Kawe utachukua fomu WEWE Mzee mgaya?Katoliki ni Kanisa la Dunia nzima ππΉπΏ
Kawe pagumu nitakwenda Iringa mjini pale ni mtelemko πKawe utachukua fomu WEWE Mzee mgaya?
Kuungana Katika kutokomeza Wasiojulikana,Wakaungana kwenye nini sasa? Kugombea Urais au Ubunge? Wapewe na nani sasa? Mimi ni Mkatoliki niliyepokea Sakramenti zote tano bado Sakramenti ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa tu, lakini SIWEZI kuwapa kura wakigombea maana sio kazi yao!
Unamwogopa Pascal Mayalla?Kawe pagumu nitakwenda Iringa mjini pale ni mtelemko π