kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Kumbe unajua alimtukana Pengo pia anafufua wafu huyoHio ni too lateš¤,. Gwajima asingemtukanaga pengo kipindi kile nadhani kwa sasa anageiona nguvu ya Tec ilivo na upendo.
Kumbe unajua alimtukana Pengo pia anafufua wafu huyoHio ni too lateš¤,. Gwajima asingemtukanaga pengo kipindi kile nadhani kwa sasa anageiona nguvu ya Tec ilivo na upendo.
Hio ni too lateš¤,. Gwajima asingemtukanaga pengo kipindi kile nadhani kwa sasa anageiona nguvu ya Tec ilivo na upendo.
Tutakuwepoš
Usawa kwa wote hauwahusu Ufufuo na uzima?Bahati mbaya TEC hawapo kwa ajili ya kushirikiana na mtu/watu. Badala yake wapo kwa ajili ya kukemea maovu, kutetea haki na usawa kwa wote, nk.
Atukabwe mwingine,kesi ukafungua WEWE,Huyo Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima mtukana Mzee wa wakatoliki Kardinali Pengo iau mwingine?
Gwajima yupi labda unayemuongelea?
Kwamba?bahati mbaya hilo halitakuja kutokea, ni kama sunni na shia, si unaona wasuni wanavyofurahi iran kupigwa, ndivyo ilivyo kwa wakatoliki na walokole. pamoja na kwamba wote wanaumizwa ila kila mtu anafurahia mwenzake anavyoumizwa, hawawezi kushirikiana. ajabu sana.
Nadhani umeelewa sasa maana ya ushirika na TEC Katika kusali, kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine šHuu msumari ulioo upigilia leo ni msumari uliopinda vibaya sana!
It is comingSalaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine š
Unadhani kishindo chake kitakuwaje?
Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist
Mungu ibariki Nyikani.
Karibuni š
Hii imenikumbusha Mwaka 324 Karne ya Nne, Mfalme ConstantinoNadhani umeelewa sasa maana ya ushiruka na TEC Katika kisali, kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine š
Mbeleni ni kwema sana,It is coming
Mbona wanawaunga hao matapeli mkono kila siku..Watanzania siyo wajinga kama Ninyi. Watanzania hawawezi kuwaunga mkono matapeli
Mambo yanakuja taratibuMbeleni ni kwema sana,
Kuna watu niliwambia ajaye SI Catolica wala Islam, wakabisha kwa kigezo kuwa halijawahi tokea
Hapana.Nadhani umeelewa sasa maana ya ushirika na TEC Katika kusali, kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine š
Wala hatutofautiani,Hapana.
Mimi slieiewi kwa misingi hiyo unayoichukulia wewe. Nadhani tulianza kupishania hapo.
Hili siyo sehemu ya mada; lakini naomba tu kuelewa vizuri.Na TEC wamewapa ushirika ufufuo na uzima wapate kuabudu pamoja,
Hakuna wa kuishinda CCMSalaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine š
Unadhani kishindo chake kitakuwaje?
Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist
Mungu ibariki Nyikani.
Karibuni š
Itakuwa kama kishindo cha wakoma kilivyo wakimbiza washami.šSalaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine š
Unadhani kishindo chake kitakuwaje?
Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist
Mungu ibariki Nyikani.
Karibuni š
No reforms no electionHakuna wa kuishinda CCM