Ikitokea TEC na Gwajima wakashirikiana, kishindo chake kitakuwaje kuelekea uchaguzi Mkuu?

Ikitokea TEC na Gwajima wakashirikiana, kishindo chake kitakuwaje kuelekea uchaguzi Mkuu?

TEC sio Chama Cha Siasa, hilo hamjui kwani?
 
Salaam, Shalom!

Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃

Unadhani kishindo chake kitakuwaje?

Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist

Mungu ibariki Nyikani.

Karibuni 🙏
Mada za namna hii ni za kichokonozi; zisizofaa kabisa!

Kwa nini jambo la waTanzania wote ulifanye kuwa la kundi (makundi maalum)?

Kwani hao waTanzania wengine wote wasiopendezwa na huu uozo uliopo, wewe hutaki washiriki kama wananchi wengine wote?

Unapotafuta kuigawa nchi katika makundi ya aina hii, lengo lako ni nini hasa!

Kwa nini unataka anayoyafanya Samia na Genge lake; sasa yafanywe na hao unaotaka washirikiane?
 
Msumari hung'olewa na nyundo.
 
Wakaungana kwenye nini sasa? Kugombea Urais au Ubunge? Wapewe na nani sasa? Mimi ni Mkatoliki niliyepokea Sakramenti zote tano bado Sakramenti ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa tu, lakini SIWEZI kuwapa kura wakigombea maana sio kazi yao!
Na ndiyo maana unampigania Samia Suluhu Hassan; hata ikilazimu kupoteza maisha ya wengine wasiokubaliana na Genge lenu! Hizo Sakramenti zimekushika kwelikweli!
 
Nadhani hiyo ni kazi ya jeshi la polisi ,kanisa kazi yake kuhubiri injili watu waache maovu. Sasa kama police wameshindwa hapo ndio mtihani kwetu kama taifa. Lakini nadhani tulipofikia police watajitahidi kufanya kazi yao kwa weledi hebu tuwape nafasi maana kelele zimekua nyingi naona watachukua hatua.
Polisiccm ndo wapewe nafasi hawa wanaoshinda kanisani kwa gwajima wakizuia watu wasiabudu na wakati mahakama ishaikana hiyo barua ya kufungiwa kwa kanisa la gwajima
 
Salaam, Shalom!

Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃

Unadhani kishindo chake kitakuwaje?

Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist

Mungu ibariki Nyikani.

Karibuni 🙏
Power is power hakuna wa kushindana nayo
 
Unazani Tec kuna darasa la saba na ma DR,DR,DR,DR,DR,DR wa mmchongo
 
Ila kumbuka ma askofu na mapadre uwaga wanatuonya tusiende kwenye makanisa hayo
Mbingu ni moja,

Na adui yetu ni mmoja,

Shetani,

Anayefunga nyumba za ibada, dhamira yake ni kujua nguvu ya madhabahu ipatikanayo Katika kusanyiko la watakatifu.

Kwenye shida huwa tunaungana, magovi na tofauti ni sababu ya shibe.
 
Watanzania siyo wajinga kama Ninyi. Watanzania hawawezi kuwaunga mkono matapeli
Lucas usichukulie hili jambo ni rahisi kama unavyolijibu, kwa sasa limeshagusa hata wale ambao walikua moderate, kwa yaliyotokea watu sasa hivi hata wewe husemi tu, kimoyo moyo unajisikia.

Acha kudanganya kila binadamu ana utashi (conscience) - kujua baya na jema labda tu uwe na maslahi kamili
 
Mbingu ni moja,

Na adui yetu ni mmoja,

Shetani,

Anayefunga nyumba za ibada, dhamira yake ni kujua nguvu ya madhabahu ipatikanayo Katika kusanyiko la watakatifu.

Kwenye shida huwa tunaungana, magovi na tofauti ni sababu ya shibe.
Mahubiri ya uongo
 
Hio ni too late🤗,. Gwajima asingemtukanaga pengo kipindi kile nadhani kwa sasa anageiona nguvu ya Tec ilivo na upendo.
 
Back
Top Bottom