Ikitokea TEC na Gwajima wakashirikiana, kishindo chake kitakuwaje kuelekea uchaguzi Mkuu?

Hili siyo sehemu ya mada; lakini naomba tu kuelewa vizuri.
Ni "kuabudu pamoja", au "...ushirika ufufuo na uzima" wamepewa mahali pa kufanyia ibada?
Ushirika ndio kitu kinachoeleweka zaidi.
 
Ushirika ndio kitu kinachoeleweka kirahisi zaidi.
EEEenHEEee!

Mkuu 'Rabbon', lugha za namna hizi anazijuwa Samia!
Sasa unatumia msamiati ambao ni mgumu kwangu kuuelewa!
"...ushirika", ni sawa sawa na "ushirikiano"?
 
Watagombea kwa chama kipi?
 
Hao TEC mwisho wao ni matamko tu, hawana uwezo wa kufanya chochote.
 
Asante kwa taarifa.
Lakini bado natikisa kichwa nikijiuliza ni kitu gani hasa kimekuvuruga akili kirahisi namna hiyo!
HaPana, sihitaji jibu, hilo unalifahamu mwenyewe.
Hahaha Typing error
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…