Ikitokea umeshauri mtu avae Hijab nyekundu, huyo mtu akavaa, utajisikiaje? Kwa hili, Big Up Rais Samia na Serikali yako kwa kuwa wasikivu

Sometimes unaandika Sana Hadi maana ya ulichoandika inaondoka
Mkuu The Boss , it's true, kuna vitu vingine ni vigumu sana to drive home the point, hivyo you have to do lots and lots of meandering before you drive home the point, na nakiri huko kwenye hiyo meandering some people get lost, ila mwisho wa siku the point reaches home to the intended destination.
P
 
Rangi Nyekundu uwakilisha Mamlaka...ndio maana Wakili hawezi vaa tai nyekundu akatokea mbele ya Jaji au Hakimu Mahakamani.
Mkuu TASLIMA , kwa vile mawakili wana dress code yao na rangi Nyekundu haipo, sikujui ni rangi zile ili kuepuka rangi za mamlaka!.
P
 
Tunashukuru time tunapopokea AHADI, hatushukuru tunapoahidiwa AHADI.

Tuupe wakati muda.
 
Huwa unapata wapi muda wa kuchezea kama huu?.

Huwezi kupata uteuzi kwa vile una sifa ya kupoteza muda.
Too much of anything is harmful.
 
Paskali, sikatai kwamba kuna wenye maono na huenda ww ni mmojawapo. Mungu na akubariki upate hilo kama bado. lkn ukikutana na wataalam wa takwimu watakuelezea masuala ya "probabilities", kwamba ikiwa mtu kazoea vaa viatu veusi, tegemea kuwa kesho atavaa vyeusi pia na hakuna maono ktk hilo. lkn pia ikiwa umetabiri kutokana na ww kupenda rangi, tungetegemea ww kw kupenda rangi zile ungekua shabik wa CDM na sio CCM - hivo kuna yanayoongozwa na ubongo na wengine hisia. hivo hakuna ajabu ww kushauri mama flani avae nini ikiwa mwenyewe anazi penda rangi hizo. hata suala la uchaguzi pia, kw anayejua na kufuatilia tabia, desturi na aina ya katiba tuliyo nayo sio vigumu kutabiri mshindi. hata mimi natabiri, ikiwa Katiba haitabadilika na kuwa na utofauti flani, CCM itaibuka kidedea... na hakuna maono ktk hilo ...au vp Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…