Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Tubu kabla hayajakupataMBOWE siyo mtyu wa kutolea mfano- ni mfano mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tubu kabla hayajakupataMBOWE siyo mtyu wa kutolea mfano- ni mfano mbaya
Ana mamlaka pale kwetu Ufipa. Una swali lingine?Mbona Mbowe alivaa tai nyekundu kwenye kongamano la Bawacha!
kwanini usiachane na ukabilaMtu akishakuwa Msukuma Kuna namna fulani atakuwa anazingua, hata Kama hakupapanga
Pale alikuwa mgeni mwalikwa na mwenye mamlaka alikuwa mwenyekiti wa Chama kilichoandaa kongamano.Pale alikuwepo Rais Samia mwenye mamlaka!
Nasubiri ufafanuzi
Tulimkataza asikejeli ramadan ona sasa anayoandikqUteuzi unaumiza watu,Hadi huku maofisini.ni kero tupu.hivi nani anaweza kuelewa upuuzi mrefu kama huu??manake nae atakua mpuuzi
Mkuu The Boss , it's true, kuna vitu vingine ni vigumu sana to drive home the point, hivyo you have to do lots and lots of meandering before you drive home the point, na nakiri huko kwenye hiyo meandering some people get lost, ila mwisho wa siku the point reaches home to the intended destination.Sometimes unaandika Sana Hadi maana ya ulichoandika inaondoka
True and you can establish one2one communication na Mama!.Na hivi mama alisema anapitia humu, kazi mnayo
Uteuzi unaumiza watu,Hadi huku maofisini.ni kero tupu.hivi nani anaweza kuelewa upuuzi mrefu kama huu??manake nae atakua mpuuzi
Duh...!. Wakuu Akasankara , na ngalelefijo , kama na nyinyi mnaamini na mimi ni msaka teuzi, keep on believing that and you'll believe anything!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Upo bize kutafuta TEUZI
Hijab ni mtandio.Hijab ni nini?
Yani hadi ina boa sasa maana unasoma ukiona link ufungue nako magazeti yani aarghhh
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Mkuu Adrian Stepp na Agustin kun Aguero hivi watu kama nyinyi, novel mnaweza kusoma?.Nimejikuta nachoka kusoma nimekimbilia kuja ku comment.
Usikae utanie ramadan kwenye maisha yako . Ona unavojiaibishaHijab ni mtandio.
P
Hamjui maana ya tai nyekundu?.MBOWE siyo mtyu wa kutolea mfano- ni mfano mbaya