Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Walifukuza wachezaji wote wakati ligi inaendelea?
Sina uhakika ila najua timu ilivyogawanyika pande mbili ligi ilikuwa inaendelea. Kuwa na migogoro na wachezaji ni jadi ya timu yako pendwa.
 
Fatma Karume na mpira wapi na wapi.

Hata hao wanasheria wa Yanga nao wanaonekana ovyo.

Kwanza kwa kanuni za FIFA ni illegal team nyingine kuongea na mchezaji aliye kwenye mkataba au mwakilishi wake; bila ya kuongea na club husika kwanza kama wapo interested kumuuza huyo mchezaji.

Yanga wangesema hawapo interest story inaishia hapo.

Yanga wangepeleka malalamiko yao kwenye shirikisho la mpira nchi ambayo club inayotaka kumsajili Fei Toto sasa hivi wangekuwa washalipwa hela ndefu, kwa kuingilia mkataba wa mchezaji na kuzuiwa kumsajili ata akinunua mkataba wake atoke yanga.

Mambo mengine ata sijui yanakuwaje mzozo wa muda mrefu Tanzania, kwengine sasa hivi kama Fei Toto ataki kucheza na kwa kuwa bado yupo chini ya Yanga wangeweza ata kutomlipa mshahara kama adhabu na hakuna kitu angeweza fanya.
Hiyo timu unaijua ni timu gani?
 
Nia ya viongozi wa Yanga ni kuumiza pasipo faida? Au ni kiu yenu mashabiki kumuona akiumia sababu hawaitaji?
Tumia akili kidogo acha kuuliza maswali ya kipumbavu. Kwakukusaidia yanga imeamua kumkomalia ili iwe somo kwa wachezaji wengine wasije iga.
 
Hapo hakuna siasa hizo ni haki za kimkataba tu.

Mkataba upo kwa ajili ya kuvunjwa sio kifungo cha maisha.

Yanga na TFF ni malimbukeni tu wivu na uchawi tu wa kiafrika umejaa kwenye taasisi zetu.
Hujawahi kuwa na akili hata kidogo.
 
Sina uhakika ila najua timu ilivyogawanyika pande mbili ligi ilikuwa inaendelea. Kuwa na migogoro na wachezaji ni jadi ya timu yako pendwa.
Huna uhakika. Ok
 
Huna uhakika. Ok
Watafute wazee wa Yanga watakupa story nzima. Kufukuzwa kwa wachezaji wote wa Yanga kulizaa timu inaitwa Pan African. Usisahau kuwauliza kwa nini wana historia za migogoro mikubwa na wachezaji, shida ni nini?
 
Yanga wenye akili ni wawili tu haya wekeni dau mlilomnunua sure boy na sio huyo tu wachezaji kibao mmepewa bure na AZAM na hawajalalamika ila feisal imekuwa nongwa ina maana yanga imesahau dhulma ilizofanya kwa team nyingine mchezaji kashasema hataki kubaki yanga lazima mumkomoe muacheni aende anapoona kuna faa mpa mudathir na sure boy wanamzidi hela feisal acheni dhulma kwa wachezaji wazawa.
 
Mpira si biashara ya utumwa. Mchezaji wajibu wake unaambatana na nia ya kutimiza huo wajibu, ukiondoa nia basi ni sawa na huna huyo mchezaji hata kama utalazimisha awepo kikosini. Kuwa na wachezaji 20 wasio na nia ya kuipigania timu ni bora wasiwepo tu. Ni sawa na kufuga mbuzi wafukuze paka wezi wa kuku. Utasema una walinzi ila ni kama huna tu.
From a layman's perspective.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
From a layman's perspective.
I understand your pain. Yanga officialls re deite to you. People like you, show reverence and adoration for a deity. Huwezi vumilia maneno yenye viashiria vya kuwaweka hatiani.
 
Tumia akili kidogo acha kuuliza maswali ya kipumbavu. Kwakukusaidia yanga imeamua kumkomalia ili iwe somo kwa wachezaji wengine wasije iga.
Maswali ya Kipumbavu hayajibiwi na werevu. Ushaona timamu akijibu hoja za kichaa? Usijibu sababu utadhihirisha uhalali wa sentensi yangu ya kwanza. ZIBA.
 
Kwahiyo inawezekana wachezaji wote wa kikosi cha YANGA wakavunja mkataba kipindi ligi inaendelea?
Kwanini wasivunje kwani kuna mtu anaingia mkataba na wenzake??

Hujawahi kuona migomo??

Someni amendments za fifa transfer rules.

Kama hujawahi kushuhudia jambo haimaanishi haliwezi tokea.

Tatizo letu ndio hili kila mahali.

Zile nafasi flani hivi huwa zinakamatwa na vilaza kwa nguvu za fitna rushwa na uchawi.
 
Je umejiuliza ikitokea Wacheza 20 wakafa nini kitatokea?
Maana hiyo nayo ni moja wapo ya sababu za kuvunja mkataba.

Hawa vilaza wa TFF wanatusumbua tu na ujinga wao.

Uelewa mdogo na madaraka wanangangania.
 
Kwanini wasivunje kwani kuna mtu anaingia mkataba na wenzake??

Hujawahi kuona migomo??

Someni amendments za fifa transfer rules.
Wachezaji mpaka waweke migomo ujue kuna vitu vimekiukwa kwenye mikataba au makubaliono yao.

Sheria za FIFA zinasema mchezaji hawezi kuvunja mkataba bila makubaliano ya pande zote mbili Kukaa na kukubaliana . Au wewe unasemea sheria zipi?
 
Wachezaji mpaka waweke migomo ujue kuna vitu vimekiukwa kwenye mikataba au makubaliono yao.

Sheria za FIFA zinasema mchezaji hawezi kuvunja mkataba bila makubaliano ya pande zote mbili Kukaa na kukubaliana . Au wewe unasemea sheria zipi?
Hizo ni sheria za lini??
 
Back
Top Bottom