SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Sina uhakika ila najua timu ilivyogawanyika pande mbili ligi ilikuwa inaendelea. Kuwa na migogoro na wachezaji ni jadi ya timu yako pendwa.Walifukuza wachezaji wote wakati ligi inaendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika ila najua timu ilivyogawanyika pande mbili ligi ilikuwa inaendelea. Kuwa na migogoro na wachezaji ni jadi ya timu yako pendwa.Walifukuza wachezaji wote wakati ligi inaendelea?
Hiyo timu unaijua ni timu gani?Fatma Karume na mpira wapi na wapi.
Hata hao wanasheria wa Yanga nao wanaonekana ovyo.
Kwanza kwa kanuni za FIFA ni illegal team nyingine kuongea na mchezaji aliye kwenye mkataba au mwakilishi wake; bila ya kuongea na club husika kwanza kama wapo interested kumuuza huyo mchezaji.
Yanga wangesema hawapo interest story inaishia hapo.
Yanga wangepeleka malalamiko yao kwenye shirikisho la mpira nchi ambayo club inayotaka kumsajili Fei Toto sasa hivi wangekuwa washalipwa hela ndefu, kwa kuingilia mkataba wa mchezaji na kuzuiwa kumsajili ata akinunua mkataba wake atoke yanga.
Mambo mengine ata sijui yanakuwaje mzozo wa muda mrefu Tanzania, kwengine sasa hivi kama Fei Toto ataki kucheza na kwa kuwa bado yupo chini ya Yanga wangeweza ata kutomlipa mshahara kama adhabu na hakuna kitu angeweza fanya.
Tumia akili kidogo acha kuuliza maswali ya kipumbavu. Kwakukusaidia yanga imeamua kumkomalia ili iwe somo kwa wachezaji wengine wasije iga.Nia ya viongozi wa Yanga ni kuumiza pasipo faida? Au ni kiu yenu mashabiki kumuona akiumia sababu hawaitaji?
Hujawahi kuwa na akili hata kidogo.Hapo hakuna siasa hizo ni haki za kimkataba tu.
Mkataba upo kwa ajili ya kuvunjwa sio kifungo cha maisha.
Yanga na TFF ni malimbukeni tu wivu na uchawi tu wa kiafrika umejaa kwenye taasisi zetu.
Kuna mtu keshanieleza hakuna team inayojulikana kumfuata baada ya hiyo post. Soma mtiririko wa mada yote nimeshatoka huko.Hiyo timu unaijua ni timu gani?
Yote yanahitaji majibuJe umejiuliza ikitokea Wacheza 20 wakafa nini kitatokea?
HakikaHujawahi kuwa na akili hata kidogo.
Huna uhakika. OkSina uhakika ila najua timu ilivyogawanyika pande mbili ligi ilikuwa inaendelea. Kuwa na migogoro na wachezaji ni jadi ya timu yako pendwa.
Watafute wazee wa Yanga watakupa story nzima. Kufukuzwa kwa wachezaji wote wa Yanga kulizaa timu inaitwa Pan African. Usisahau kuwauliza kwa nini wana historia za migogoro mikubwa na wachezaji, shida ni nini?Huna uhakika. Ok
From a layman's perspective.Mpira si biashara ya utumwa. Mchezaji wajibu wake unaambatana na nia ya kutimiza huo wajibu, ukiondoa nia basi ni sawa na huna huyo mchezaji hata kama utalazimisha awepo kikosini. Kuwa na wachezaji 20 wasio na nia ya kuipigania timu ni bora wasiwepo tu. Ni sawa na kufuga mbuzi wafukuze paka wezi wa kuku. Utasema una walinzi ila ni kama huna tu.
Wapo wafanyakazi wanaotumikishwa kwa malipo kidogo.Hakuna mfanyakazi anae ridhika na mshahara wake
I understand your pain. Yanga officialls re deite to you. People like you, show reverence and adoration for a deity. Huwezi vumilia maneno yenye viashiria vya kuwaweka hatiani.From a layman's perspective.
Maswali ya Kipumbavu hayajibiwi na werevu. Ushaona timamu akijibu hoja za kichaa? Usijibu sababu utadhihirisha uhalali wa sentensi yangu ya kwanza. ZIBA.Tumia akili kidogo acha kuuliza maswali ya kipumbavu. Kwakukusaidia yanga imeamua kumkomalia ili iwe somo kwa wachezaji wengine wasije iga.
Kwanini wasivunje kwani kuna mtu anaingia mkataba na wenzake??Kwahiyo inawezekana wachezaji wote wa kikosi cha YANGA wakavunja mkataba kipindi ligi inaendelea?
Maana hiyo nayo ni moja wapo ya sababu za kuvunja mkataba.Je umejiuliza ikitokea Wacheza 20 wakafa nini kitatokea?
Hata mama yako pia hajawahi kuwa na akili ndio maana akakuzaa.Hujawahi kuwa na akili hata kidogo.
Wachezaji mpaka waweke migomo ujue kuna vitu vimekiukwa kwenye mikataba au makubaliono yao.Kwanini wasivunje kwani kuna mtu anaingia mkataba na wenzake??
Hujawahi kuona migomo??
Someni amendments za fifa transfer rules.
Hizo ni sheria za lini??Wachezaji mpaka waweke migomo ujue kuna vitu vimekiukwa kwenye mikataba au makubaliono yao.
Sheria za FIFA zinasema mchezaji hawezi kuvunja mkataba bila makubaliano ya pande zote mbili Kukaa na kukubaliana . Au wewe unasemea sheria zipi?