Ikiwa ajira za uarabuni zinalipa, watoto wa viongozi Waoneshe mfano Kwa vitendo

Hao wauguzi wametosha kwenye hospitali zetu nchini Hadi tuwapeleke uarabuni Kwa 600k?

Kwann Serikali isiwaajiri?!!!
Hivi wewe unaakili timamu kweli? Huku uraiani kuna zaidi ya raia 30000 wa kada za afya nursing hawana ajira. Tumepata fursa ya nafasi 500 za nje ya nchi unataka kusemaje?
 
Nani alikuambia wana shida ya ajira? We walaumu wazazi wako. Hakuna anayelazimishwa kwenda huko, umeelezwa fursa km hutaki si ukae kimya we bwege?
Fursa ya kuwa houseboy uarabuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi wewe unaakili timamu kweli? Huku uraiani kuna zaidi ya raia 30000 wa kada za afya nursing hawana ajira. Tumepata fursa ya nafasi 500 za nje ya nchi unataka kusemaje?
Kwanini hawana ajira?

Kila siku Serikali unadai Ina upungufu wa wauguzi na madaktari,

Matukio mengi wajawazito wanaripotiwa kufariki Kwa kukosekana wahudumu wa AFYA!!

Pia wamesomeshwa Kwa Kodi zetu, kwann wakasaidie WAARABU Badala ya kusaidia ndugu zetu?

Karibu.
 
Huna akili wewe .unataka kila mtanzania aajiriwe na serikali?
 
Ndio,

Kama wameshindwa kuajiri , na Kuna uhaba wa wahudumu wa AFYA wameshindwa kutuongoza.

Wamesomeshwa Kwa Kodi zetu, wajaze gap la ndani kabla ya kupelekwa nje Kwa malipo ya 600k!!
 
Bora kulima alizeti home land
Wanajaribu kutuaminisha kuwa nchini hakuna fursa za ajira!!

Tanzania ndiko kwetu, Nchi yetu ni nzuri imebarikiwa,

Tunakosa viongozi wa kuonyesha njia kusaidia raslimali zetu zitutajirishe sisi Badala ya wageni!!

Tusikubali.
 
Ndio,

Kama wameshindwa kuajiri , na Kuna uhaba wa wahudumu wa AFYA wameshindwa kutuongoza.

Wamesomeshwa Kwa Kodi zetu, wajaze gap la ndani kabla ya kupelekwa nje Kwa malipo ya 600k!!
Suala la kuajiri watu wote nchini halipo dunia nzima. Tengeneza nchi yako utoe ajira kwa watu wote. Ajira ni tatizo la kidunia siyo Tanzania pekee.
 
Mbona unajitutumua sana kuwajibia ilhali wewe Si mmoja wao?
 
Back
Top Bottom