Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hivi wewe unaakili timamu kweli? Huku uraiani kuna zaidi ya raia 30000 wa kada za afya nursing hawana ajira. Tumepata fursa ya nafasi 500 za nje ya nchi unataka kusemaje?Hao wauguzi wametosha kwenye hospitali zetu nchini Hadi tuwapeleke uarabuni Kwa 600k?
Kwann Serikali isiwaajiri?!!!
Wewe piga domo hapa JF wenzako wachangamkie fursa badae uje na stori za mayahudi.Cheti chako ulichotumia Jina la mwingine,
Ndo umeshakosa fursa ya kurudi utumwani!!
Fursa ya kuwa houseboy uarabuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani alikuambia wana shida ya ajira? We walaumu wazazi wako. Hakuna anayelazimishwa kwenda huko, umeelezwa fursa km hutaki si ukae kimya we bwege?
Kwanini hawana ajira?Hivi wewe unaakili timamu kweli? Huku uraiani kuna zaidi ya raia 30000 wa kada za afya nursing hawana ajira. Tumepata fursa ya nafasi 500 za nje ya nchi unataka kusemaje?
Huna akili wewe .unataka kila mtanzania aajiriwe na serikali?Kwanini hawana ajira?
Kila siku Serikali unadai Ina upungufu wa wauguzi na madaktari,
Matukio mengi wajawazito wanaripotiwa kufariki Kwa kukosekana wahudumu wa AFYA!!
Pia wamesomeshwa Kwa Kodi zetu, kwann wakasaidie WAARABU Badala ya kusaidia ndugu zetu?
Karibu.
Kwani kuna mtu kalazimishwa kwenda?
Ndio,Huna akili wewe .unataka kila mtanzania aajiriwe na serikali?
Bora kulima alizeti home landHapo lazima Kuna udalali😀😀
Wanajaribu kutuaminisha kuwa nchini hakuna fursa za ajira!!Bora kulima alizeti home land
Kwani bongo haijafika laki 6?Hao wauguzi wametosha kwenye hospitali zetu nchini Hadi tuwapeleke uarabuni Kwa 600k?
Kwann Serikali isiwaajiri?!!!
Bibi hangaya out2025 ifike haraka.
Suala la kuajiri watu wote nchini halipo dunia nzima. Tengeneza nchi yako utoe ajira kwa watu wote. Ajira ni tatizo la kidunia siyo Tanzania pekee.Ndio,
Kama wameshindwa kuajiri , na Kuna uhaba wa wahudumu wa AFYA wameshindwa kutuongoza.
Wamesomeshwa Kwa Kodi zetu, wajaze gap la ndani kabla ya kupelekwa nje Kwa malipo ya 600k!!
Mbona unajitutumua sana kuwajibia ilhali wewe Si mmoja wao?Suala la kuajiri watu wote nchini halipo dunia nzima. Tengeneza nchi yako utoe ajira kwa watu wote. Ajira ni tatizo la kidunia siyo Tanzania pekee.