Ikiwa Baraza la Mawaziri litavunjwa, Napendekeza Mkuchika kwa Umri wake atamfaa Mama

Babu Tale anafaa kuwa Waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo usilolijua ni kuwa SAMIA emewekwa hapo na Kikwete,na Majaliwa amewekwa hapo na Kikwete na ni Ndugu yake Mke wa Kikwete.

Hili litawezekana kama umewasiliana na Kikwete,vingenevyo endelea kuota.Kama Magufuli alishindwa kumtoa Majaliwa ataweza SAMIA???
 
Acheni kampeni za hovyo, huyu mzee akapumzike wapo wengi wenye uwezo wa hiyo nafasi kwanza hana jipya
 
Duh! Hivi hamchoki na haya majina? Tangu tunazaliwa tunayasikia yako serikalini hadi leo na sisi ni watu wazima bado mnataka yaendelee kuwepo? Taifa limepungukiwa watu kiasi hiki?
Waambie bila soni anamtaja huyo mzee
 
Nchi yenye vijana wa mipango..yaan mtendaj mkuu wa serikal awekwe mzee ambae umri umeenda kisa tu siasa et hatokua mwiba kwake?..nawew kijana timamu kabisa unaombea hilo..aisee...
 
Hivi huyu mkcuchika hana wajukuu?
Akikaa mahali nusu saa tu kalala, wa nini sasa huyu mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…