Ikiwa Chebukati alifuatwa na Vice Chief of Defence Forces! Je, Jecha alifuatwa na nani 2015 mpaka akapindua matokeo?

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta amtangaze Raila Odinga kuwa mshindi ama sivyo basi atangaze kuwa hakuna mshindi aliefikisha 50%+1.

Najiuliza kama huku Chebukati alifuatwa na hawa je Jecha alifuatwa na nani huko Zanzibar 2015 mpaka akapindua matokeo ya Ushindi wa Hayati Maalim Seif?
 
Ndiyo maana nilipoona taarifa ya forensic report ya polisi nikahisi kuna kitu hakipo sawa kabisa. Hao wa venezuela usikute walikuwepo kenya kwa ajili ya kampuni halali inayosimamia hiyo server au walikuwa upande wa Odinga wakaamua kupindua meza.
 
Odinga/baba/Rao/Kitendawili sasa apumzike!
 
Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta amtangaze Raila Odinga kuwa mshindi ama sivyo basi atangaze kuwa hakuna mshindi aliefikisha 50%+1.

Najiuliza kama huku Chebukati alifuatwa na hawa je Jecha alifuatwa na nani huko Zanzibar 2015 mpaka akapindua matokeo ya Ushindi wa Hayati Maalim Seif?
Naona unakwepa kumwuliza na Jaji Lubuva alifuatwa na nani
 
Back
Top Bottom