Ikiwa Chebukati alifuatwa na Vice Chief of Defence Forces! Je, Jecha alifuatwa na nani 2015 mpaka akapindua matokeo?

Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta amtangaze Raila Odinga kuwa mshindi ama sivyo basi atangaze kuwa hakuna mshindi aliefikisha 50%+1.

Najiuliza kama huku Chebukati alifuatwa na hawa je Jecha alifuatwa na nani huko Zanzibar 2015 mpaka akapindua matokeo ya Ushindi wa Hayati Maalim Seif?
Lakini inaonyesha Ruto akishilikiana na Chibukati walidukua mifumo ya kura Ili kumuwezesha Ruto kushinda Uchaguzi..

Hao waliomfuata Chibukati bila shaka walipigwa na butwaa kwa nini matokeo ni tofauti?

Tusubirie Mahakama
 
Kazi iliishakwisha huyo mzee atulie ale ruzuku ya uPM maana age imeenda.
 
Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta amtangaze Raila Odinga kuwa mshindi ama sivyo basi atangaze kuwa hakuna mshindi aliefikisha 50%+1.

Najiuliza kama huku Chebukati alifuatwa na hawa je Jecha alifuatwa na nani huko Zanzibar 2015 mpaka akapindua matokeo ya Ushindi wa Hayati Maalim Seif?
Alifuatwa na CIC

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi w habari yako uliona na mm nione please.
 
Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta amtangaze Raila Odinga kuwa mshindi ama sivyo basi atangaze kuwa hakuna mshindi aliefikisha 50%+1.

Najiuliza kama huku Chebukati alifuatwa na hawa je Jecha alifuatwa na nani huko Zanzibar 2015 mpaka akapindua matokeo ya Ushindi wa Hayati Maalim Seif?
Huo waweza kuwa uzushi.
Hawezi kufuatwa na wakuu kama hao halafu apindue meza kwa Afrika hii wangempoteza kitambo
 
Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta amtangaze Raila Odinga kuwa mshindi ama sivyo basi atangaze kuwa hakuna mshindi aliefikisha 50%+1.

Najiuliza kama huku Chebukati alifuatwa na hawa je Jecha alifuatwa na nani huko Zanzibar 2015 mpaka akapindua matokeo ya Ushindi wa Hayati Maalim Seif?
Just a call inatosha from hotline !!
 
Kama ni kweli Uhuru alikuwa behind Raila in reality basi Ruto atakatwa tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom