johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
MtamaKwani kachero mbobezi na dakika zake 90 aliishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MtamaKwani kachero mbobezi na dakika zake 90 aliishia wapi?
What if Ruto akimantain ushindi wake,umejiuliza ni vipi ataishi Kifalme?.Ila kwa sasa atakavyokuwa anaishi anajua mwenyewe.
Kwa yanayoendelea hata kama Ruto alimaanisha kwamba hatalipa kisasi ikitokea amemantain nafasi yake huenda akafikiri vinginevyo.Uhuru yupo kimya anapanga PLAN C baada ya A na B kufeli.
Mkuu sijabahtika kuiona forensic report,je imezungumza nini?.Ndiyo maana nilipoona taarifa ya forensic report ya polisi nikahisi kuna kitu hakipo sawa kabisa. Hao wa venezuela usikute walikuwepo kenya kwa ajili ya kampuni halali inayosimamia hiyo server au walikuwa upande wa Odinga wakaamua kupindua meza.
Una mimba ya jiwe wewe siyo bure!!Laana ya kushabikia udikteta wa jiwe imemtafuna Odinga , Mungu hataniwi