Wewe umemwamini?Huyo mzee alitangaza matokeo sahihi.
Mbingu ipi?Chebukati mbinguni moja KWA moja
Laana ya kushabikia udikteta wa jiwe imemtafuna Odinga , Mungu hataniwiMbingu ipi?
Ila kwa sasa atakavyokuwa anaishi anajua mwenyewe.Chebukati mbinguni moja KWA moja
Uhuru yupo kimya anapanga PLAN C baada ya A na B kufeli.Ila kwa sasa atakavyokuwa anaishi anajua mwenyewe.
Huu ndio ukweli ,,Uhuru hakuchanga vizuri karata zake.Uhuru yupo kimya anapanga PLAN C baada ya A na B kufeli.
Ruto alisema Uhuru atajua hajui!Mbingu ipi?
Subiri Dakika 90Ruto alisema Uhuru atajua hajui!
Yaani hadi Wakikuyu wamemkana Uhuru/Odinga team!
Odinga/baba/Rao/Kitendawili sasa apumzike!Ndiyo maana nilipoona taarifa ya forensic report ya polisi nikahisi kuna kitu hakipo sawa kabisa. Hao wa venezuela usikute walikuwepo kenya kwa ajili ya kampuni halali inayosimamia hiyo server au walikuwa upande wa Odinga wakaamua kupindua meza.
Laana ya kushabikia udikteta wa jiwe imemtafuna Odinga , Mungu hataniwi
Jiandae kuficha uso.Laana ya kushabikia udikteta wa jiwe imemtafuna Odinga , Mungu hataniwi
Naona unakwepa kumwuliza na Jaji Lubuva alifuatwa na naniNimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta amtangaze Raila Odinga kuwa mshindi ama sivyo basi atangaze kuwa hakuna mshindi aliefikisha 50%+1.
Najiuliza kama huku Chebukati alifuatwa na hawa je Jecha alifuatwa na nani huko Zanzibar 2015 mpaka akapindua matokeo ya Ushindi wa Hayati Maalim Seif?