J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 28, 2022 #41 brazaj said: Kwani kachero mbobezi na dakika zake 90 aliishia wapi? Click to expand... Mtama
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Aug 28, 2022 #42 Jecha ni jamaa yetu tu pale kisiwandui, hahitaji hata kufuatwa, yeye mwenyewe tu mtiifu.
MUSIGAJI JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 2,254 Reaction score 2,715 Aug 28, 2022 #43 May Day said: Ila kwa sasa atakavyokuwa anaishi anajua mwenyewe. Click to expand... What if Ruto akimantain ushindi wake,umejiuliza ni vipi ataishi Kifalme?.
May Day said: Ila kwa sasa atakavyokuwa anaishi anajua mwenyewe. Click to expand... What if Ruto akimantain ushindi wake,umejiuliza ni vipi ataishi Kifalme?.
MUSIGAJI JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 2,254 Reaction score 2,715 Aug 28, 2022 #44 MUTUYAMUNGU said: Uhuru yupo kimya anapanga PLAN C baada ya A na B kufeli. Click to expand... Kwa yanayoendelea hata kama Ruto alimaanisha kwamba hatalipa kisasi ikitokea amemantain nafasi yake huenda akafikiri vinginevyo.
MUTUYAMUNGU said: Uhuru yupo kimya anapanga PLAN C baada ya A na B kufeli. Click to expand... Kwa yanayoendelea hata kama Ruto alimaanisha kwamba hatalipa kisasi ikitokea amemantain nafasi yake huenda akafikiri vinginevyo.
MUSIGAJI JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 2,254 Reaction score 2,715 Aug 28, 2022 #45 Mudawote said: Ndiyo maana nilipoona taarifa ya forensic report ya polisi nikahisi kuna kitu hakipo sawa kabisa. Hao wa venezuela usikute walikuwepo kenya kwa ajili ya kampuni halali inayosimamia hiyo server au walikuwa upande wa Odinga wakaamua kupindua meza. Click to expand... Mkuu sijabahtika kuiona forensic report,je imezungumza nini?.
Mudawote said: Ndiyo maana nilipoona taarifa ya forensic report ya polisi nikahisi kuna kitu hakipo sawa kabisa. Hao wa venezuela usikute walikuwepo kenya kwa ajili ya kampuni halali inayosimamia hiyo server au walikuwa upande wa Odinga wakaamua kupindua meza. Click to expand... Mkuu sijabahtika kuiona forensic report,je imezungumza nini?.
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 Aug 28, 2022 #46 Erythrocyte said: Laana ya kushabikia udikteta wa jiwe imemtafuna Odinga , Mungu hataniwi Click to expand... Una mimba ya jiwe wewe siyo bure!!
Erythrocyte said: Laana ya kushabikia udikteta wa jiwe imemtafuna Odinga , Mungu hataniwi Click to expand... Una mimba ya jiwe wewe siyo bure!!
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Aug 28, 2022 #47 Ili mradi tume imeshamtangaza , imeishaaaa !!. Kumpindua matokeo ya Ruto ni kuleta Vita Kenya !!.
O Osale 1 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 367 Reaction score 548 Aug 28, 2022 #48 Ndio uzuri wa watu timam