Uchaguzi 2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

Uchaguzi 2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

Hahaha alinunua wabunge akatusahau wananchi, yunadai mgao wetu mpaka kueleweke.

Sasa akichomoja hapo ndio mtakoma, alikuwa anaogopa uchaguzi, term ya pili akichomoza mjiandae.
 
Back
Top Bottom