Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom kabisa ya utawala ! Kwa mwenendo huu viongozi wengi ndani ya chadema hii ya sasa mioyo yao ipo kwa freeman mbowe na hata Leo freeman akiamua kusajili chama kipya Cha kisiasa basi ataungwa mkono na maelfu ya wanachadema hata Mimi nikiwemo ,natumia Kalamu yangu kumtaka mh freeman mbowe aunde chama kipya Cha siasa Bado ni kijana na Bado taifa linamhitaji aachane na kijiwe Cha majungu Cha chadema ya sasa