Ikiwa Leo freeman mbowe ataanzisha chama kipya Cha siasa maelfu ya wanachadema wataungana nae na huo utakuwa mwisho wa chadema

Sa
Ni ngumu kuelewa content hii .mfano hivi wewe ukiamua kuanzisha duka kariakoo utaua maduka mengine? . Note this , Kwa kuwa unajulikana ,Moja utafatiliwa kwa mazuri au mabaya . Kuna watakao hoji kwa Nini ameanzisha chama . Kuna wengine watasema afadhali kaanzisha tumkomoe mpinzani Fulani ka sababu ya gubu lake tu .Vyama vinaendeshwa kwa mission and vision.
Sawa
 
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom kabisa ya utawala ! Kwa mwenendo huu viongozi wengi ndani ya chadema hii ya sasa mioyo yao ipo kwa freeman mbowe na hata Leo freeman akiamua kusajili chama kipya Cha kisiasa basi ataungwa mkono na maelfu ya wanachadema hata Mimi nikiwemo ,natumia Kalamu yangu kumtaka mh freeman mbowe aunde chama kipya Cha siasa Bado ni kijana na Bado taifa linamhitaji aachane na kijiwe Cha majungu Cha chadema ya sasa
Ili iweje wewe
 
Kama kura tu walimnyima nani atakayemuunga mkono? Labda demu wake mama na machawa wake ndiowatakao ungananaye
 
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom kabisa ya utawala ! Kwa mwenendo huu viongozi wengi ndani ya chadema hii ya sasa mioyo yao ipo kwa freeman mbowe na hata Leo freeman akiamua kusajili chama kipya Cha kisiasa basi ataungwa mkono na maelfu ya wanachadema hata Mimi nikiwemo ,natumia Kalamu yangu kumtaka mh freeman mbowe aunde chama kipya Cha siasa Bado ni kijana na Bado taifa linamhitaji aachane na kijiwe Cha majungu Cha chadema ya sasa
Hakuna sheria inayokataza "kuwaza ujinga bila kuvunja sheria".
 
Nonsense...
 
Ni kwa sababu anachangia fedha nyingi chamani? Isiwe taabu lissu akimamaliza muhula wake mbowe arudie tena kuongoza chama au ahamie kwingine au aanzishe tena chama chake kipya. Ana hela nyingi za kuchangia chama na watu wana njaa kali watamuunga mkono
Kwanini asichangie kile chama kichovu ccm,mbona wenyewe walimchangia sana tuu?
 
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom kabisa ya utawala ! Kwa mwenendo huu viongozi wengi ndani ya chadema hii ya sasa mioyo yao ipo kwa freeman mbowe na hata Leo freeman akiamua kusajili chama kipya Cha kisiasa basi ataungwa mkono na maelfu ya wanachadema hata Mimi nikiwemo ,natumia Kalamu yangu kumtaka mh freeman mbowe aunde chama kipya Cha siasa Bado ni kijana na Bado taifa linamhitaji aachane na kijiwe Cha majungu Cha chadema ya sasa
.
 
Attachments

  • JamiiForums1381953234.jpeg
    JamiiForums1381953234.jpeg
    49.5 KB · Views: 1
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom kabisa ya utawala ! Kwa mwenendo huu viongozi wengi ndani ya chadema hii ya sasa mioyo yao ipo kwa freeman mbowe na hata Leo freeman akiamua kusajili chama kipya Cha kisiasa basi ataungwa mkono na maelfu ya wanachadema hata Mimi nikiwemo ,natumia Kalamu yangu kumtaka mh freeman mbowe aunde chama kipya Cha siasa Bado ni kijana na Bado taifa linamhitaji aachane na kijiwe Cha majungu Cha chadema ya sasa

Ungeweka disclaimer boss kwamba ni imani yako tu sio standard wala hujafanya utafiti wowote, tuende sawa
 
Back
Top Bottom