Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
- Thread starter
- #21
Sa
SawaNi ngumu kuelewa content hii .mfano hivi wewe ukiamua kuanzisha duka kariakoo utaua maduka mengine? . Note this , Kwa kuwa unajulikana ,Moja utafatiliwa kwa mazuri au mabaya . Kuna watakao hoji kwa Nini ameanzisha chama . Kuna wengine watasema afadhali kaanzisha tumkomoe mpinzani Fulani ka sababu ya gubu lake tu .Vyama vinaendeshwa kwa mission and vision.