Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika..
kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto ikiwa wahusika walibahatika kupata...
na changamoto kubwa zaidi hapa ni jinsi au namna ya kuresolve kasumba hii ya michepuko inayohatarisha uhai wa uchumba na ndoa nyingi...
Je,
kama muhusika kwenye mahusiano au ndoa, ni busara zaidi kudeal na nani kati ya mwenzi wako au anae chepuka nae ili kukomesha na kudhibiti uchepukaji, kwa mustakabali mwema wa uchumba au ndoa yako?🐒
kwa wenye uzoefu itapendeza zaidi..