Ikiwa namba yako ya simu inaishia na mojawapo ya hizi hapa.

Ikiwa namba yako ya simu inaishia na mojawapo ya hizi hapa.

Yangu ni 7 ila me sio mpole ni jeur kweli.ila nakupongeza kwa ubunifu malidhawa unafaa kua mganga wa jadi
 
Karibu wengi wanaangukia namba mbaya. Mi naangukia 0
 
Mboni mie kicheche halafu imeangukia kwenye 7. Rudia kupiga ramli
 
Ndo kusema kuwa mimi mjeuri au....? Mmmh...ni research ya wapi hii????
 
Ndo kusema kuwa mimi mjeuri au....? Mmmh...ni research ya wapi hii????
 
Ikiwa namba yako YA SIMU inaishia na:
0- hamnazo
1- mrembo
2- bweege
3- mcheshi
4-jeuri 5- mzinguaji
6- hekma
7- mpole
8- mwehu
9- kicheche
Mwenzangu uko wapi?

kwahiyo hata mwanaume ya kwake ikiishia na 1 ataitwa mrembo? shindwa mi siyo kicheche. sweetlady hongera manake nimeota eti we ni mrembo afu mubwege hahaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa namba yako YA SIMU inaishia na:
0- hamnazo
1- mrembo
2- bweege
3- mcheshi
4-jeuri 5- mzinguaji
6- hekma
7- mpole
8- mwehu
9- kicheche
Mwenzangu uko wapi?

Kweli kabisa hizo 0 na 9 ndo zilivyo za sweetlady na Madame B , afu namba 8 dogo Chimbuvu kahusika barabara
 
Last edited by a moderator:
Kumbe na wewe unapitaga udaku blog?????
 
Back
Top Bottom