Ikiwa namba yako ya simu inaishia na mojawapo ya hizi hapa.

Ikiwa namba yako ya simu inaishia na mojawapo ya hizi hapa.

Ikiwa namba yako YA SIMU inaishia na:
0- hamnazo
1- mrembo
2- bweege
3- mcheshi
4-jeuri 5- mzinguaji
6- hekma
7- mpole
8- mwehu
9- kicheche
Mwenzangu uko wapi?

Za kwangu


1.......voda
3........Airtel
6..........tigo
7..........zantel
Nimemuuliza wa ubani vipi? kanijibu HASWA kapatia
 
Ivi mwnaume anasifiwaga urembo!??:confused2:
 
kwahiyo hata mwanaume ya kwake ikiishia na 1 ataitwa mrembo? shindwa mi siyo kicheche. sweetlady hongera manake nimeota eti we ni mrembo afu mubwege hahaaaaaaa
Afu wewe ntakuzibua! Endelea.
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa namba yako YA SIMU inaishia na:
0- hamnazo
1- mrembo
2- bweege
3- mcheshi
4-jeuri 5- mzinguaji
6- hekma
7- mpole
8- mwehu
9- kicheche
Mwenzangu uko wapi?
umenivunjia hishma, baba mzima 'mrembo'! LOL! Mimi sipikwagi chungu kimoja na Cameroon!
 
Ikiwa namba yako YA SIMU inaishia na:
0- hamnazo
1- mrembo
2- bweege
3- mcheshi
4-jeuri 5- mzinguaji
6- hekma
7- mpole
8- mwehu
9- kicheche
Mwenzangu uko wapi?

Voda inaishia 3, tigo 7. Mcheshi na mpole!
 
Back
Top Bottom