Ikiwa namba yako ya simu inaishia na mojawapo ya hizi hapa.

Ikiwa namba yako ya simu inaishia na mojawapo ya hizi hapa.

Ikiwa namba yako YA SIMU inaishia na:
0- hamnazo
1- mrembo
2- bweege
3- mcheshi
4-jeuri 5- mzinguaji
6- hekma
7- mpole
8- mwehu
9- kicheche
Mwenzangu uko wapi?

We yako mbona husemi wakat inaishia na 0?
 
Mi namba yangu inaishia na # sasa hii inakuaje? Kama unbisha piga *221*1# Kwa tigo
 
acha uongo wewe sasa huku umeingiaje wakati simu ndo kiunganishi we Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom