Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

Sio kila uongo ni dhambi.

Uongo unaweza ukakupeleka peponi kama tu huo uongo unaleta vitu chanya.
 
Sijawahi ona Viongozi wa serikali wanaongea ukweli..
Actually hata wazazi wetu wametulea Kwa kutujaza uongo mwingi sana..

Maisha bila kuongea uongo it is almost impossible..
Viongozi wa dini ndo mabingwa WA kuongea uongo
Niliwahi kusoma mahali, kuna Nchi inakuaga na mashindano ya kusema Uongo hadi Mtu akuamini ila Wanasiasa hawaruhusiwi kushiriki🤠🤠🤠🤠
 
Waislamu wako wazi kuhusu uwongo ila wakristu wanamumunya tu maneno. Halafu wanaishi Kikristu kuliko wakristu wenyewe. Namaanisha kulingana na matendo na mafundisho ya Yesu.
 
Ndio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…