harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
uongo ni uongo tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila uongo ni dhambi.Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.
Nawasilisha🙏🙏🙏
Niliwahi kusoma mahali, kuna Nchi inakuaga na mashindano ya kusema Uongo hadi Mtu akuamini ila Wanasiasa hawaruhusiwi kushiriki🤠🤠🤠🤠Sijawahi ona Viongozi wa serikali wanaongea ukweli..
Actually hata wazazi wetu wametulea Kwa kutujaza uongo mwingi sana..
Maisha bila kuongea uongo it is almost impossible..
Viongozi wa dini ndo mabingwa WA kuongea uongo
Nani wa kulaumiwa??Kwa makusudi unafanya dhambi kwa kuwa utasamehewa! Pengine ndio maana kila mwaka CAG anakuwa busy, watu wanaiba, kwa minajili ya kuomba msamaha mbeleni, tutafika?
Ndio.Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.
Nawasilisha🙏🙏🙏