Ikiwa Tanzania hatujapata Maendeleo kufika Uchumi wa Juu ndani ya miaka 9 ijayo najiondoa JF

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Huu ndo ukweli
Endapo Mungu akinipa uhai ndani ya miaka 9 ijayo na hatujafika Uchumi wa Juu, Basi kama sio kujiondoa JF nitakuja na Verified id

Kwa nini nasema haya?

1. Mradi wa LNG unaotarajiwa kuchukua miaka 4-6 kukamilika. Mradi huu unatarajiwa kuchukua Takribani Trilion 70-80 na kuingiza mapato kwa serikali si chini ya Trilioni 3 kwa mwaka

2. Mradi wa Kabanga Nickel ambao pia unatarajiwa kuchukua nafasi ya Urusi kwa ku supply madini ya kutengenezea betri za magari yanayotumia Umeme. Mradi huu unasema kuwa utakuwa wa kipekee zaidi kwa Africa

3. Mradi wa Gesi ya Helium.
Mradi huu pia unasemwa kuwa utakuwa moja ya turning point Kwa Tanzania kiuchumi. Kwa sasa inasemwa kuwa Tanzania inaweza kuwa na hifadhi za ujazo za cubit meter zaidi ya Trilion 100 za Gesi hii. Na ndo itaongoza duniani.

Kwa uhakika nasema hapa hii miradi ambayo inatarajiwa kuanza kutake off kuanzia 2027 kwa kufanya uzalishaji na kuuza hizi bidhaa kwenye soko la Dunia isipoibadilisha Tanzania kwenda uchumi wa juu basi nitajiondoa JF rasmi!

Lord Denning
Manyara, Tanzania
E52CEB3E-80DA-49A6-9764-ACA4E7617FEC.jpeg
 
Manyara, TanzaniaView attachment 2176984
SAWA MKUU
 
Jiandae kujiondoa.
Tanzania haipo kwenye list ya nchi zinazotarajiwa kufika huko katika kipindi cha kufikia 2030. Uwe unatembelea tovuti za WTO upate maarifa kidogo.
 
Sawa! Time Will tell, tuombe uzima
 
Sio rahisi mkuu, labda kama mambo hayo utayafanya kwa usimamizi walo ila kwa huu uongozi wa ccm ni HAPANA.
Ninaomba utuachie na uzi wa kutuaga na kusikitishwa na kukatishwa tamaa baada ya hiyo miaka 9.
 
Sasa mradi unaogharimu trillions 80 huku unategemea kupata trillion 3 hapo ni kusema itachukua zaidi ya miaka 30 mradi kurudisha gharama zake
 
Mkuu kuachia uzi kwa miaka 9 ijayo sio mchezo
 
Huu ndo ukweli
Endapo Mungu akinipa uhai ndani ya miaka 9 ijayo na hatujafika Uchumi wa Juu, Basi kama sio kujiondoa JF nitakuja na Verified id

Kwa nini nasema haya?

1. Mradi wa LNG unaotarajiwa kuchukua miaka 4-6 kukamilika. Mradi huu unatarajiwa kuchukua Takribani Trilion 70-80 na kuingiza mapato kwa serikali si chini ya Trilioni 3 kwa mwaka

2. Mradi wa Kabanga Nickel ambao pia unatarajiwa kuchukua nafasi ya Urusi kwa ku supply madini ya kutengenezea betri za magari yanayotumia Umeme. Mradi huu unasema kuwa utakuwa wa kipekee zaidi kwa Africa

3. Mradi wa Gesi ya Helium.
Mradi huu pia unasemwa kuwa utakuwa moja ya turning point Kwa Tanzania kiuchumi. Kwa sasa inasemwa kuwa Tanzania inaweza kuwa na hifadhi za ujazo za cubit meter zaidi ya Trilion 100 za Gesi hii. Na ndo itaongoza duniani.

Kwa uhakika nasema hapa hii miradi ambayo inatarajiwa kuanza kutake off kuanzia 2027 kwa kufanya uzalishaji na kuuza hizi bidhaa kwenye soko la Dunia isipoibadilisha Tanzania kwenda uchumi wa juu basi nitajiondoa JF rasmi!

Lord Denning
Manyara, TanzaniaView attachment 2176984
Ungesema unajikata koromeo ningeona wa maana ila kujiondoa jf ni kitu kidogo sana
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
🐒🐒🐒
 
Usichelewe; fanya haraka uondoke mapema wakati huu. Tanzania hatuna uhaba wa watu na ardhi yenye mali asili nyingi bali tuna uhaba mkubwa sana wa uongozi na siasa safi.
 
Nchi imechukua miaka 60 kunusa uchumi wa kati (kipato cha Mtanzania kufika $1,026 kwa mwaka), unategemea miaka 9 kuingia uchumi wa juu (kipato cha Mtanzania kufika $12,056 kwa mwaka)? Ukiangalia kabisa hizo growth rates (1175%) utaona haiwezekani.
 
Sasa mradi unaogharimu trillions 80 huku unategemea kupata trillion 3 hapo ni kusema itachukua zaidi ya miaka 30 mradi kurudisha gharama zake
she said.
With a total investment of more than $30-billion (Sh69-trillion), the LNG plant we will be exporting at least 7.5 million tons of liquefied gas per year with 10 percent of the produced natural gas is for domestic uses.
The lifespan of the LNG plant is 30 years once it becomes operational.
Source: The Citizen
Watu walikuwa wanashangilia uwekezaji mkubwa kutokana na hiyo dola bilioni 30 wanayosema watawekeza kwenye hiyo LNG plant!
Lakini ni jambo ambalo serikali inabidi iliangalie kwa makini sana. Lifespan ya hiyo plant ni miaka 30 na kama wata double uzalishaji kuwa 15 million tons kama nilivyosoma sehemu. Na miaka 30 lifespan nayo itapungua sana!

Je, mwisho wa siku tutanufaika vipi kama baada ya miaka 20-30 inabidi wawekeze tena kwenye LNG plant?
 
Back
Top Bottom