Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Mbona kama mnamegewa kiduchu tu.Huu ndo ukweli
Endapo Mungu akinipa uhai ndani ya miaka 9 ijayo na hatujafika Uchumi wa Juu, Basi kama sio kujiondoa JF nitakuja na Verified id
Kwa nini nasema haya?
1. Mradi wa LNG unaotarajiwa kuchukua miaka 4-6 kukamilika. Mradi huu unatarajiwa kuchukua Takribani Trilion 70-80 na kuingiza mapato kwa serikali si chini ya Trilioni 3 kwa mwaka
2. Mradi wa Kabanga Nickel ambao pia unatarajiwa kuchukua nafasi ya Urusi kwa ku supply madini ya kutengenezea betri za magari yanayotumia Umeme. Mradi huu unasema kuwa utakuwa wa kipekee zaidi kwa Africa
3. Mradi wa Gesi ya Helium.
Mradi huu pia unasemwa kuwa utakuwa moja ya turning point Kwa Tanzania kiuchumi. Kwa sasa inasemwa kuwa Tanzania inaweza kuwa na hifadhi za ujazo za cubit meter zaidi ya Trilion 100 za Gesi hii. Na ndo itaongoza duniani.
Kwa uhakika nasema hapa hii miradi ambayo inatarajiwa kuanza kutake off kuanzia 2027 kwa kufanya uzalishaji na kuuza hizi bidhaa kwenye soko la Dunia isipoibadilisha Tanzania kwenda uchumi wa juu basi nitajiondoa JF rasmi!
Lord Denning
Manyara, TanzaniaView attachment 2176984
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]