Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Ni ya kidigitali ina mfumo maalum.Hapana. Sikuhitaji kabisa.
Hiyo kazi si lelemama japo unapata kipato. Yaani jua lako, mvua yako. Unapandisha milima na mabonde. Unafika mahali unagonga hodi kwa nyumba ya watu...
Wapo watumishi wa umma, sekta binafsi wamepambana na wametamani sana kufanya kazi hii.Ukweli ni kwamba, huwezi kuwa na kazi yako ya maana au biashara zako zinakupa kipato, ukaenda kubanana kwenye ajira za sensa tena ukarani!
Yaani kufight kwenye hizi ajira ni kiashiria cha wazi kabisa cha namna watanzania tulivyo na hali ngumu kiuchumi.
Just imagine umebeba begi lina vitendea kazi, umevaa laba miguuni (ukivaa viatu vya wazi jiandae kujaa vumbi au viatu kukatika) unazunguka nyumba moja baada ya nyingine, unaanza kuuliza maswali takribani 100+ then unajaza taarifa na kutuma mahali husika. Nikwambie tu, hii ni kazi ya kizalendo haihitaji ubrothermen au usister do! Ni kazi ya kikomavu!
Unafahamu idadi ya maswali kwenye dodoso?Itakuwa ni siku ya kuandaa majawabu sahihi na kuyaacha nyumbani ili hata makarani wakija kwa kuchelewa watayakuta. Usijipe stress za bureeeeee!
sengobad vipi ulihesabiwa siku uliyopumzika?Tija ipo sana, labda kwako wewe usiyejua, mapumziko yamelenga kwa wananchi wala sio makalani.
Naheshimu sana mawazo yako mkuu, lkn je kuna karani aliyekwama kwa sababu ya kukosa wanakaya ?sengobad vipi ulihesabiwa siku uliyopumzika?
Tujitahidi kwwnye haya maisha kuheshimu mawazo ya great thinkers hata kama hawana cheo au umaarufu.
Nilipotuma hii hoja nilijua nini namaanisha. Hadi leo kaya nyingi hazijahesabiwa. Hakukuwa na haja ya mapumziko!