Habarini wana JF,
Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.
Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?
Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?
Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
Haifikirishi ndugu. Una mawazo tu, na yaacheHapana ndugu inafikirisha.
Imagine that feeling kama utakua unaweza sikia ndugu wakilia lakini huna uwezo wa kuwaona.
Kama ndiyo hivyo basi hakuna kitu kinachoitwa kifo kwa mwanadamu sasa.Ukifa unajua kama umekufa na kupitia roho yako ambayo inakuwa imeuacha mwili.
Inakuwa inaona kila kitu.
Mtu anapokufa roho yake inatoka ndani ya kava lake yaani mwili na inaenda aidha kwa Mungu au kwa Shetani kwa hiyo utajua kabisa umekufa by the way zile seconds chache wakati roho inatoka kwenye mwili ni kama vile roho inaamka na kuanza maisha ya rohoni so unajua kabisa.Habarini wana JF,
Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.
Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?
Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?
Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
Nikuulize swali rahisi. Kabla hujazaliwa ulikuwa unajua bado hujazaliwa? Hata bado ukiwa mimba ulikuwa unajua kuwa wakati ule wewe ni mimba?Habarini wana JF,
Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.
Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?
Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?
Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
Ukifa sahau kusikia wala kuona matukio yanayoendelea.Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?