Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo akichangiwa Fedha akaenda kujenga ghorofa utamwelewa?Kuchangiwa Fedha na Kununuliwa Gari ni Vitu viwili tofauti Kabisa 🐼
Serikali inanunua V8 ngapi kila mwaka?Salaam, Shalom!!
Naona majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
Kwani wananchi wanaomchangia Lissu kununua gari na wananchi wanaolipa Kodi CCM inanunua ma v8 Kwa Kodi hizo,Atleast hajatenga billion 200 za wavuja jasho kununua latest V8s za watawala wetu. Mimi sioni shida hata angenunua ndege, as long as wamechangia wananchi.
Ni sawa tu Kwa sababu hakuna mkataba wowote wa kisheria 😀Kwahiyo akichangiwa Fedha akaenda kujenga ghorofa utamwelewa?
Ndiyo mjue Rais wetu kipaumbele chaken ni michezoImagine Mkuu anagawa 700M wakati hapo hapo WM wake anatoa number ya MPESA wananchi tuchangie maafa ya Kariakoo. Ila aisee bongo kuwaelewa wanasiasa unahitaji PhD ya uchawa.
Zaidi wananchi tunashangilia.
Alisemaga Le mutuz....(RIP), viongozi wetu ni reflection ya wananchi!
Swali Kwa swali!Serikali inanunua V8 ngapi kila mwaka?
Zinanunuliwa halafu baadae wanakuja kujiuzia gari ya milioni 600 inauzwa kwa milioni 4 na visingizio 1000Serikali inanunua V8 ngapi kila mwaka?
Shalom ni salamu.Mkiwa mnaandika hoja zenu za kipumbavu namna hii hamwezi kuacha kutamka shalooom.
Hakuna sehemu Lisu amenunuliwa V8 na wananchi isipokuwa wamemchangia hela ya kununulia gari tena ni hela kdg 117MSwali Kwa swali!
Kwa uono wako,
Lissu akichaguliwa Kuwa Rais Leo,vatafuta manunuzi ya V8 nchini ikiwa ameridhia wananchi wamnunulie V8 mpya Kwa kuchangishana?
Nijibu Kwa HOJA.
Salaam, Shalom!!
Naona majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
Tuna Mpango wa kumchagua atuongoze nchini,Ni sawa tu Kwa sababu hakuna mkataba wowote wa kisheria 😀
Na kwann wananchi wanalalamika V8 Moja linaweza kujenga vituo vya AFYA 3?Kwa nini afute?