Ikiwa Tundu Lissu ameridhia kununuliwa gari ya kifahari na wananchi. Akiwa Rais atafuta manunuzi ya V8?

Hujamuelewa bado, nadhani kuna kikundi cha watu wanashauri serikali vibaya..

Tukiwa wakwel hatuhitaji hiz latest vehicles kwa ajili ya wanasiasa... Not required...

Hii nchi ni masikini sana bado, tunaweza pambana tukajiweka pazuri kama Botswana, South Africa, Mauritius etc...

Kutenga Bil 590 kwa ajili ya magari sio wazo zuri.
 
Imagine Mkuu anagawa 700M wakati hapo hapo WM wake anatoa number ya MPESA wananchi tuchangie maafa ya Kariakoo. Ila aisee bongo kuwaelewa wanasiasa unahitaji PhD ya uchawa.
Zaidi wananchi tunashangilia.

Alisemaga Le mutuz....(RIP), viongozi wetu ni reflection ya wananchi!
Viongozi watangulize maslah ya wananchi mbele kuliko binafsi.

Yaani mwananchi anayekosa pesa ya kununua bima ya familia yake,

Apate wapi pesa ya kukununulia V8?
 
Kwa uoga na mfimo ya hii nchi ni ndoto za alinacha Mpinzani kuwa Rais,Ni rahisi wewe ukajiunga na CCM ukawa Rais lakini sio mpinzani kuwa Rais.
So,hoja yako haona mashiko maana Lisu akiwa Chadema hawezi kuwa Rais.
Nothing lasts forever,

CCM Si Mungu, Ina mwisho wake, acha makufuru.
 
Hakuna sehemu Lisu amenunuliwa V8 na wananchi isipokuwa wamemchangia hela ya kununulia gari tena ni hela kdg 117M
Gari aliyopigwa nayo risasi ilikuwa aina Gani na Bei Gani?

Na ikiwa wananchi wanaamua kumnunulia gari kama aliyokuwa nayo, wachangie sh ngapi?

Ndipo ujue hiyo pesa haijatosha Bado kununua gari ya Lissu.

Ingekuwa imetosha, angetangaza kufunga zoezi la uchangiaji.
 
Ingekuwa imetosha, angetangaza kufunga zoezi la uchangiaji
 
Salaam, Shalom!!

Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.

NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏.
Lissu anajua tunashindia mlo mmoja, halafu bado anatulazimisha tutoe hela ili yeye atembee huku amekaa. Hana huruma kabisa
 
Salaam, Shalom!!

Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.

NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏.
Anastahili kwasasa na hakuomba kuchangiwa in the first place.. Alikuwa yuko tayari kutumia gari yake ya zamani
 
Salaam, Shalom!!

Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.

NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏.
Hata kula kwa irefu wa kamba atafuta.
 
Salaam, Shalom!!

Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.

NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏.
Selfishness Afrika ni jadi yetu !
a.k.a Kutambiana !
Hata kwenye ngoma zetu ni vivyo hivyo 😳!
 
Gari aliyopigwa nayo risasi ilikuwa aina Gani na Bei Gani?

Na ikiwa wananchi wanaamua kumnunulia gari kama aliyokuwa nayo, wachangie sh ngapi?

Ndipo ujue hiyo pesa haijatosha Bado kununua gari ya Lissu.

Ingekuwa imetosha, angetangaza kufunga zoezi la uchangiaji.
Unajua bei double cabin mpya?
 
Back
Top Bottom